Sasa unataka kutulazimisha tushiriki katika fedheha yenu kwa nguvu?. Kenya, Uganda na Ethiopia zimepakana na S. Sudan na ndizo zinazphusika zaidi katika kusuluhisha mzozo huo, ulitaka Trump asizungumzia hilo Suala na Kenya badala yake azungumze na rais wa Botswana au?.
Mbona mikataba ya biashara hajasaini ya ukanda mzima badala yake ni Kenya pekee?. Hii ni kawaida yenu ninyi ubinafsi umewajaa sana, wakimbiaji wenu wakishinda huko nchi za nje mnasema ni mkenya ameshinda, ila musicians wa Tanzania akifanya vizuri mnasema huyu ni East african. Sisi hatuna tabia ya kujikomba kwa wazungu, Uhuru amewakilisha Kenya sisi hatukubaliani na tabia yake ya kuzurura aimlessly, tulimchukia Kikwete kwasababu ya tabia hiyo ya kuzurura hovyo, kama ninyi mnaipenda msitushirikishe sisi hatuitaki kabisaaaaa.
Sent using
Jamii Forums mobile app