'Buhari Is So Lifeless!': Asema Trump Baada Ya Kikao Chake Na Rais Wa Nigeria- Financial Times

Mkuu, kikwete kaitia hii nchi hasara sana. FYI you dont understand, his smile confused you, uchumi wa Tz unapaa as per ccm manifesto, not kikwete or magufuli. Geez, you're so misinformed, hawa presidents wanafuaga ilani za chama, mizunguko ya kikwete iliitia hoo nchi hasar hadi watu wakamwita vasco da gama. Woi, nikuache hapo, sina time. But you dont understad, magu is the best.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hawa sissy- em walikuwa wapi wakati Kikwete alikuwa akiwatia hasara? Na hivi sasa ako na kesi yapi yanayomkabili? Wewe acha fitina.
Jamaa alizurura huku na kule kutafuta wawekezaji na hela za kugharamia miradi kadhaa za maendeleo ambazo mmeshinda mkituringia humu.

Ni kutokana na kuzurura huko uchumi ya Tz ilianza kukua kwa asilia hizo za kutamaniwa na nchi zote.

Wawekezaji wameongezeka kwa kiasi gani kwenye muda awamu huu imehudumu ukilinganisha na lile lililopita? Malalamishi tu kutoka kwa wawekezaji ndio zimezidi jinsi serikali hii inavyoendesha uchumi, kufanya maamuzi kipupapupa bila ya kufuata kanuni. Ni project yapi zimeanzisha na hivi sasa zinaendelea bila kasoro za kifedha? Tusianze na mambo ya sgr na Bagamoyo ambazo zimebakia tu kama hekaya.
 
Hakuna cha kuwakilisha ukanda, yeye alienda kwa ajili ya Kenya usituingize katika fedhea yenu, ninyi kazi yenu ni kujikomba kwa wazungu tangu zamani, sisi hiyo haijawahi kuwa sera yetu tangu enzi za Nyerere tunahisi ni kujidhalilisha, tafadhali sana usitushirikishe katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajikomba kwa nani sasa?Bajeti yenu mnajitegemea asilimia ngapi?iliyobaki inatoka wapi?Propaganda za kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna unachojua unapiga kelele kama mbuzi jike, mwezi ujao Chissano atakuja Dar kuja kumkabidhi tuzo ya ukombozi aliyoshinda hivi Karibuni, tuzo zote za Africa zinapelekwa kwa mshindi sio mshindi kuitwa kwenda kuipokea, na hata wakimwita atapeleka mwakilishi, kwanza ni nyingi sana hatoweza kuzurura hovyo wakati kuna mambo ya msingi ya kufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho Theresa May akitua Kenya usisahau kupiga hili povu lako fotokopi.
 
Mbona Uhuru anayezurura hovyo kila siku lakini uchumi haukui kama Tanzania na kwanini tangu Magufuli aache kazi uchumi unazidi kuimarika na tunafanya mambo makubwa zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni kuu za kutajika za kutengeza magari, machine, madini, ICT, miundo mbino, elimu, afya, kilimo, ujenzi, utalii nk zimezidisha uwekezaji wao humu nchini. Ndio maana nchi hii inazidi kukua despite changamoto nyingi inayoikumba.

Ishu yangu nawe ni huu mtazamo wako wa kipuzi ya kwamba kutafuta ushirikiano na nchi za wazungu ati huko ni kuwa kibaraka wa wazungu. Mbona hamsemi hivyo wakati wakenya...na hata nyinyi tunapofanya mahusiano kama haya na China, India, Japan, Korea, Brazil nk? What is so special or....I donno....about wazungu?

Hivi nyinyi watanzania hamuwategemei hawa wazungu kwa lolote lile......hasa misaada?

Ishu ya Kenyatta kutembelea US, UK, Germany sio hao kuwa wazungu, ishu ni mataifa haya kuwa na uwezo mikubwa ya kuwezesha hili taifa letu linalostawi kuweza kuimarika zaidi kuliko jinsi ilivyo kwa sasa. Hamna la mtu kujikomba kwa mwengine.
 
Kuhusu uwekezaji, bado Tanzania inaongoza tena kwa mbali sana katika kupokea wawekezaji wengi wakiongozwa na UK pamoja na kwamba Magufuli hajawahi kufika Europe or US.

Kuhusu uhusiano na wazungu, Hakuna ambaye anapinga hilo, tatizo ni pale ninyi mnapoona kwamba Uhuru anapokwenda kukutana na Trump au ujio wa Theresa kuwa ni jambo la maana sana na kuanza kusifia na hata kumkebehi JPM kwa kutosafiri.

Uwekezaji ni kweli mnaongoza, lakini ni uwekezaji katika sekta zipi? Mengi ya investments Tanzania kutoka nje zimejikita kwenye sekta za madini na gesi. Nilivyomfahamisha yule anayejiita Mkikuyu akili- timamu, ni Kenya na SA tu ndizo zimewekeza zaidi kwenye sekta nyinginezo isipokuwa za madini na gesi.

Umesahau ya Kwamba Kenya ni kati ya wawekezaji wakuu zaidi Tanzania?

Wakenya wanaona ziara hiyo ni ya muhimu kwasababu inaashiria hadhi ya Kenya katika bara hili, na hasa kwenye kanda hili.
Nakubaliana na wewe ya kwamba hakukuwa na haja ya wakenya kumkebehi rais Magufuli, lakn hili pengine limetokana na baadhi ya nyinyi watanzania kutukejeli, na kutuita vibaraka wa wazungu/ombaomba nk.
 
Hahahahaha, Ingia katika website ya Tanzania investment center (TIC) angalia ni maeneo gani ambazo Tanzania zinaongoza kwa investment, kamwe sector ya gesi haipo katika top 5, sector inayoongoza ni manufacturing, followed by tourism, mining and Agriculture. Major investors wanatoka UK, China, South Africa na Kenya, na wote hao hawajihusishi sana na Gas wala mining.

Kumbe ni sawa kwa watanzania kuwaita ninyi ni vibaraka wa wazungu, hivi kwa rais wa nchi kuitwa state house ndio kuonyesha kwamba nchi ni muhimu?, kumbuka Kikwete alikua rais wa kwanza kutoka Afrika kwenda White House kukutana na Obama, Tanzania ilikua nchi ya kwanza in East Africa kutembelewa na Obama no Xi jinpin, mbona hatuosemi Tanzania is special country?.

Magufuli ana over 100 invitations on his office including nchi za Europe and America lakini haoni kama ni kitu cha kujisifia na kukimbilia Kama mnavyodhani mini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni kuu za kutajika za kutengeza magari, machine, madini, ICT, miundo mbino, elimu, afya, kilimo, ujenzi, utalii nk zimezidisha uwekezaji wao humu nchini. Ndio maana nchi hii inazidi kukua despite changamoto nyingi inayoikumba.

Ishu yangu nawe ni huu mtazamo wako wa kipuzi ya kwamba kutafuta ushirikiano na nchi za wazungu ati huko ni kuwa kibaraka wa wazungu. Mbona hamsemi hivyo wakati wakenya...na hata nyinyi tunapofanya mahusiano kama haya na China, India, Japan, Korea, Brazil nk? What is so special or....I donno....about wazungu?

Hivi nyinyi watanzania hamuwategemei hawa wazungu kwa lolote lile......hasa misaada?

Ishu ya Kenyatta kutembelea US, UK, Germany sio hao kuwa wazungu, ishu ni mataifa haya kuwa na uwezo mikubwa ya kuwezesha hili taifa letu linalostawi kuweza kuimarika zaidi kuliko jinsi ilivyo kwa sasa. Hamna la mtu kujikomba kwa mwengine.
Wachana na hawa majamaa!. Kulingana na kauli zao humu, inamaanisha vile May anakuja hapa anakuja kujikomba kwetu pia. Mazwazwa ni wengi humu.
 
1809222.jpg
Trump Says Buhari Is So Lifeless- FINANCIAL TIMES Ukweli usemwe tu, Rais Uhuru Kenyatta huwa anatuwakilisha ifaavyo, sisi watu wa Afrika Mashariki. Wenzetu kule magharibi waliabishwa sana na rais Buhari. Alikuwa anaongea kwa njia ambayo haieleweki, wala hakuweza kuuliza maswali yeyote au kujibu maswali ya Trump kuhusu Nigeria na Afrika.
UNA HAKIKA kENYATTA ALIKUWA ANAWAKILISHA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI?
Kenyatta ni Rais wa Kenya,hajatumwa na waganda wala watanzania.Aliyoongea na kukubaliana na Trump ni kwa ajili ya Kenya!

Tupambane na hali zetu kwa nguvu zetu:iwe kidemokrasia au uchumi. Na kwa vile tunaiga ya Rwanda tusubiri. Kujipendekeza hakufai!
 
Kenyatta alikua anatafutia Kenya. hata hivyo.. Kuna wakati wakihudhuria wanahabari alisema mbele ya Trump kwamba "AFRICA is open for fair trade"

Hatahivyo alichomaanisha pingli-nywee ni kwamba aibu kwa Uhuru huko marekani haingekua aibu kwa Kenya tu bali aibu kwa EA na Africa nzima... kwavile aliwakilisha vizuri (relatively speaking) basi ilikua si sifa kwa Kenya tu bali kwa EA nzima.....

The same way hua nchi kama S.Sudan hua inatuaibisha na hizi civil war zao... inatufanya sote tuonekane kama wartone continent
 
UNA HAKIKA kENYATTA ALIKUWA ANAWAKILISHA UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI?
Kenyatta ni Rais wa Kenya,hajatumwa na waganda wala watanzania.Aliyoongea na kukubaliana na Trump ni kwa ajili ya Kenya!

Tupambane na hali zetu kwa nguvu zetu:iwe kidemokrasia au uchumi. Na kwa vile tunaiga ya Rwanda tusubiri. Kujipendekeza hakufai!
Fafanua zaidi, hapo uliposema mnaiga ya rwanda.
 
Kenyatta alikua anatafutia Kenya. hata hivyo.. Kuna wakati wakihudhuria wanahabari alisema mbele ya Trump kwamba "AFRICA is open for fair trade"
Kusema Africa haimaanishi yote! Vinginevyo isisemwe alikuwa anawakilisha "ukanda".
 
Wakati tunasema alikuwa anawakikisha ukanda huu hatubahatishi maana huo ndio ukweli wa mambo. Usidhani lazima Tanzanian iwemo ndio ukanda uwe umekamilika. Lazima mambo ya Somalia na S. Sudan yawe yaliongelewa.

Pili nchi Kama marekani inahitaji tuu nchi moja ama mbili kila kona ya dunia. Hivyo huwa imeiwezeshwa kuwa 'tisti' kwa mambo yote duniani. Ukija mashariki ya Africa huwa ni Kenya sana sana.
 
Rwanda walipiga marufuku mitumba.Kilichofuata wanajua. Na huku wapinzani wanashughulikiwa kama Rwanda wanavyoshughulikiwa. Nini kitafuata kwa upande wetu? Ni suala la muda.
Kha! Inatisha kweli kweli!
 
No be tiny ting oo! Oga Buhari got his groove back! Nawa oo! [emoji1][emoji1][emoji1]
5b86be5b48331.JPG
 
Back
Top Bottom