Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Na hawa sissy- em walikuwa wapi wakati Kikwete alikuwa akiwatia hasara? Na hivi sasa ako na kesi yapi yanayomkabili? Wewe acha fitina.Mkuu, kikwete kaitia hii nchi hasara sana. FYI you dont understand, his smile confused you, uchumi wa Tz unapaa as per ccm manifesto, not kikwete or magufuli. Geez, you're so misinformed, hawa presidents wanafuaga ilani za chama, mizunguko ya kikwete iliitia hoo nchi hasar hadi watu wakamwita vasco da gama. Woi, nikuache hapo, sina time. But you dont understad, magu is the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa alizurura huku na kule kutafuta wawekezaji na hela za kugharamia miradi kadhaa za maendeleo ambazo mmeshinda mkituringia humu.
Ni kutokana na kuzurura huko uchumi ya Tz ilianza kukua kwa asilia hizo za kutamaniwa na nchi zote.
Wawekezaji wameongezeka kwa kiasi gani kwenye muda awamu huu imehudumu ukilinganisha na lile lililopita? Malalamishi tu kutoka kwa wawekezaji ndio zimezidi jinsi serikali hii inavyoendesha uchumi, kufanya maamuzi kipupapupa bila ya kufuata kanuni. Ni project yapi zimeanzisha na hivi sasa zinaendelea bila kasoro za kifedha? Tusianze na mambo ya sgr na Bagamoyo ambazo zimebakia tu kama hekaya.