MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
- Thread starter
-
- #61
M23, kufa wanakufa. Kwani wao si wameumbika kama binadamu wengine? NA huenda wanapoteza zaidi. Ila, matokeo ndo huonyesha nani ana nguvu! Jeshi la DRC,lilifarakana na wazalendo. Wazalendo ndo wanatakiwa wakae frontline. Sasa, mtu ana training ya wiki moja au mbili. MWanajeshi aliezeekea kazini,aliepata mafunzo, anakimbia. Unategemea nini? Umemleta mamluki,unamlipa dola elfu 8 au 10 kwa mwezi. Mwanajeshi mzawa anapata 150. Unategemea hiyo vita inawezekana kweli?Kama ndo hivo; ni bora tukae pembeni tuwaachie mambo yao wayamalize wenyewe.
ccmu wanafuata Nyayo za MOBUTU kuua uzalendo kwa wananchi kwa kuwatenganisha wananchi na siasa za nchi yao kwa kuwateka , kuwafunga au kuwaua kbs wote mnaojaribu kuikosoa au kuishauri serikali , inapofika muda unawaitaj wananchi kupigani nchi yao , unakuta wananchi hawana huo moyo tena maana nyiny wachache mlijiona ndo weny nchi na wananchi hawataki wapigani wachacheKinachoniuma sana Rwanda inaingia mala 90 kwa Congo Drc.
Yani Eneo la Rwanda ni mala 90 ya eneo la Congo.
Congo shenziiiiiii kabisa
Uje uulize kiapo cha mwanajeshi kinasemaje. Sasa kama adui anakuja unakimbia, si mana yake hauko tayari kufia nchi yakoYan askari anaacha kuwalinda raia au nchi yake unageuka kuwa mmojawapo wa waporaji. Inashangaza.
Usiamini maneno ya mtandaoni.Yan askari anaacha kuwalinda raia au nchi yake unageuka kuwa mmojawapo wa waporaji. Inashangaza.
Exactly yes.Uje uulize kiapo cha mwanajeshi kinasemaje. Sasa kama adui anakuja unakimbia, si mana yake hauko tayari kufia nchi yako
walishakaa na walikubaliana kuunganisha jeshi liwe moja , ila baadhi ya waasi waligoma na kurud msituni , waasi ni km vile wana agenda ya siri sio kwa DRC tu bali hata Tz na wengineo wa ukanda huu , tuwe makiniKWani, mpaka hizo EAC na SADC zinamuamulu akae meza moja na M23, wakuu wa nchi hao wote ni wajinga?
Sawa, ndo nachokuuliza, mzozo wa bungeni kwao unahusu nini! Hawajui wanajeshi wao ni mateka? Kwa taarifa yako sasa, M23 iko tayari kuwaachia huru, lakini, hakuna siraha wala gari kuachiwa. Tayari ni mali ya M23. Kilichoshindikana kuwaondoa mpaka leo, wanataka wakiondoka, njia ni Rwanda hamna option nyingine. Waondoke kama wanadiplomasia(hakuna kupekuliwa wala kupigwa picha). Rwanda hilo, ilishalikataaUnajua Afrika Kusini ilikuwa na wanajeshi wangapi hapo Congo?
Na unajua ilikuwa na majukumu gani?
Yani Afrika Kusini hii inayouza silaha Marekani, Ujerumani na Finland itishiwe na M23. Walete brigade mbili full armed na waje kupigana vita uone kama kuna panya wa Rwanda au M23 utamuona hapo Mashariki mwa DRC.
taja uliyoambiwaTaja maeneo M23 waliyorudishwa nyuma ambayo hatukuambiwa.
Kikao cha juzi tarehe 8walishakaa na walikubaliana kuunganisha jeshi liwe moja , ila baadhi ya waasi waligoma na kurud msituni , waasi ni km vile wana agenda ya siri sio kwa DRC tu bali hata Tz na wengineo wa ukanda huu , tuwe makini
Mwaka 1994 huki Arusha Rais wa Rwanda Habyamara na Jeshi la watusi la Kagame muafaka uliwataka waunganishe majeshi ila watutsi hawakuwa tyr na waliamua kuchochea vile vita vya 1994 , hawa watutsi hawajui amani km mnavyodanganyana humu
je kwa hesabu za haraka unahis kikundi cha kias kinaeza fanikisha hilo bila nguvu nje ya Afrika ? ( Rwanda hana pia ubavu huo wa kuifanya SA hv )Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.
DRC is a failed State.Baada ya Goma kuangukia mikononi mwa M23, mtutu wa bunduki ulielekezwa Kivu kusini, huku mji mkuu ukiwa Bukavu.
Serikali ya Burundi kwa makubaliano na DRC, ilipeleka wanajeshi wapatao elfu 10 kuhakikisha Bukavu inalindwa kwa nguvu yote.
Uwanja wa Kavumu, unatumiwa na serikali ya Burundi na DRC kuleta siraha toka Kinshasa na Bujumbula.
Baada ya wanajeshi hao kushindwa kuwazuia wakiwa Kalehe, vita vinaendelea eneo la Katana, ambalo lipo umbali wa km 11 tu kutoka uwanja wa ndege huo wa Kavumu.
Kukamatwa kwa uwanja huo, kutaondoa uwezekano wa serikali ya Burundi na kinshasa kuongeza nguvu. Hapo juzi, jeshi la Congo lilivamia wafanyabiashara na kupora mali zao, benki zimeibiwa.
View: https://x.com/kabagambei/status/1888701569870319802?s=46Video, ni wanaouwawa Kivu kusini,kisa kuwa watutsi.
hayo maamuz ya juz yalishafanyika mara 2 , ila watutsi ndo wakaigi mara zote , kwann alienda Kagame na sio M23 , je Kagame ana maslai gan na DRC ? je Kagame ni kiongoz wa waasi ambao alishawakana sio wanyarwanda na yeye ni rais wa Rwanda ( yaan mnyarwanda )Kikao cha juzi tarehe 8
Hujui kitu kijana wangu, hii siyo suala la banyamulenge kutengwa hapo ni PK anapambania mkataba wa makubaliano humo ndani yumo mzee kaguta.Kwa namna nilivyojua chanzo Cha mgogoro ni kubaguliwa Kwa banyamulenge ambao walitenganishwa na mipaka tu ya kikoloni na hitimisha Kwa kuwatakia M23 ushindi mnono ili kuuondoa huo ubaguzi wa kijinga wa watawala wa DRC.yaano ni sawa na sisi tuseme wamasai siyo watanzania Kwa sababu Kuna wamasai wanaoishi Kenya.
Afrika Kusini idadi yake kubwa ya wanajeshi pale DRC kwenye SAMIDRC ni 800 at highest peak kipindi hiki, wakati Rwanda ina wanajeshi 10,000 Congo disguising as M23 na wanauwawa daily hata maofisa.Sawa, ndo nachokuuliza, mzozo wa bungeni kwao unahusu nini! Hawajui wanajeshi wao ni mateka? Kwa taarifa yako sasa, M23 iko tayari kuwaachia huru, lakini, hakuna siraha wala gari kuachiwa. Tayari ni mali ya M23. Kilichoshindikana kuwaondoa mpaka leo, wanataka wakiondoka, njia ni Rwanda hamna option nyingine. Waondoke kama wanadiplomasia(hakuna kupekuliwa wala kupigwa picha). Rwanda hilo, ilishalikataa
Kwani, hiyo DRC inapoleta mamluki, warundi wasouth na kuferi, hao wote hawana nguvu? Swali la kujiuliza nadhani lingekuwa ni nani yupo nyuma ya hawa watu! MONUSCO ilisema haiwezi tena kutumia mifumo yake kwa sababu ya system ya Rwanda ya jamming. Mpaka Rwanda iwe na mfumo huo,ambao wanachama wa UN hawawezi kubypass, hauoni kuna jambo au nguvu kubwa nyuma ya haya yote!?je kwa hesabu za haraka unahis kikundi cha kias kinaeza fanikisha hilo bila nguvu nje ya Afrika ? ( Rwanda hana pia ubavu huo wa kuifanya SA hv )
Nimeuliza, wanajeshi wa SA, waliokwenda huko kama SAMIDRC, leo hii wako wapi?Afrika Kusini idadi yake kubwa ya wanajeshi pale DRC kwenye SAMIDRC ni 800 at highest peak kipindi hiki, wakati Rwanda ina wanajeshi 10,000 Congo disguising as M23 na wanauwawa daily hata maofisa.
South Africa haina helicopters wala fighters, last time 2013 ilipoleta helicopters M23 waliacha kupigana ndani ya wiki tu maana walikuwa wakijikisa kidogo wanauwawa. Ndio ile mission wabongo waliisifia sana JWTZ wakati kazi kubwa ilifanywa pia na South Africa hasa air cover.
Ukisema South Africa ilete idadi sawa ya wanajeshi wa Rwanda hapo Congo na ije na silaha zake nzito, Rwanda wanajeshi watakimbia majukumu wawe wafugaji wa Banyamurenge.
Chapia chapia utapata kidogo. Ukifail nambieHii ni kweli!?.. source
Hebu funguka kidogo mkuuHizi ni Inside job,za wakubwa katika kuhakikisha Hali inakua hv kila siku