Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

Kama jeshi lenyewe la kipuuzi namna hii, yaani baada ya kujikita kwenye mapigano wao wanawaza kuiba mali za raia hakuna kazi hapo.
Kama hawajalipwa mishahara unatarajia nini
 
Huko Congo unakuta watu Wana vyeo vya Generali, Brigedia, Kanali, captain, komando unawaza hivi vyeo wanavipataje?
 
Congo wamuingize mchina tu apo wagawane mali izo .Tz tungekuwa wababe iyo mali ingekuwa chini yetu
 
Aaah kumbe NORD KIVU walikuwepo?!!
We fuatilia vizuri, waliwithdraw wakapita njia ya maji (ziwa Kivu). Barabara ya Minova, ya kuelekea Kivu kusini,ilikuwa imefungwa na M23. Kumbuka, wata hawa wanawindana kwa kila liwezekanalo. Je, leo hii wanajeshi wale wako wapi!Bukavu hawakufika, Rwanda hawajaingia, Goma hawakurudi. Wako wapi???
 
Congo wamuingize mchina tu apo wagawane mali izo .Tz tungekuwa wababe iyo mali ingekuwa chini yetu
KWani unadhani mchina hayupo? Wanaotekwa na kuuwawa ni raia gani! Mchina ana migodi yake huko na inatambulika
 
Kuna watu wanaitafuta pepo, wengine wapo bize na dunia, kuuwa watu, na kuiba mali, life yenyewe is too short

Allah atujaalie mwisho mwema!

Huyo allah si ndio kasababisha mauaji kote kwa kitabu chake alichokuja nacho kupinga Kristo?

Mabomu mnajitoa mhanga kisa kumfurahisha huyo allah.
Uzuri ujio wake ulitabiriwa kwamba atakuja kama mpinga Kristo
 
Kuna habari niliona mchina kakamatiwa huko akiwa na dhahabu yenye thamani ya mabilion kwenye, na $ laki nane pesa taslim.
Congo ni kama shamba la mjane. Sasa,unadhani huko hakuna matajili wenye uwezo wa kuchimba? Serikali kama inamugawia kila inaemtaka, acha wazalendo wa kweli wasitishe zoezi hilo huenda na wenyewe wanufaike
 
Congo ni kama shamba la mjane. Sasa,unadhani huko hakuna matajili wenye uwezo wa kuchimba? Serikali kama inamugawia kila inaemtaka, acha wazalendo wa kweli wasitishe zoezi hilo huenda na wenyewe wanufaike
Hata majeshi ya SA walienda kwa personal interest za Ramaphosa na familia yake kwa mujibu wa wanahabari wao.
 
Kwa nini waende mbali ilhali al-Shabab wapo jirani tu hapo? Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Acha kufananisha kikundi chenu cha kigaidi na wapigania haki/hamas

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
ccmu wanafuata Nyayo za MOBUTU kuua uzalendo kwa wananchi kwa kuwatenganisha wananchi na siasa za nchi yao kwa kuwateka , kuwafunga au kuwaua kbs wote mnaojaribu kuikosoa au kuishauri serikali , inapofika muda unawaitaj wananchi kupigani nchi yao , unakuta wananchi hawana huo moyo tena maana nyiny wachache mlijiona ndo weny nchi na wananchi hawataki wapigani wachache
Upo sahihi sana tena zaidi ya sana.

Ipo siku
 
M23, yafika umbali wa km1 tu kufika uwanja wa ndege wa Kavumu. Wanajeshi wa FARDC,badhi wameanza kuingia nchini Rwanda, mjini Kamembe. Badhi ya wanajeshi wa Burundi, inasemekana wanarejea kwao.
 
Back
Top Bottom