Bukoba hakuna hata Bar bora yenye totos

Bukoba hakuna hata Bar bora yenye totos

Semeni bukoba mjini bar zipi zenye totos pamechangamka
 
Bukoba hamna kitu wahaya mbwembwe nyingi mjini.
Mimi nikiendaga bukoba nikitaka kupass time jioni naenda zangu kule ziwani bukoba hotel kupunga upepo.
Bukoba mjini hakuna bar wala hotel ya kisasa iliyochangamka
 
Bukoba mjini bwana,,hakuna bar nzuri zenye totos kama maeneo kama mwanza ..busereser au biharamulo..Bar wanazosif ni Q bar au skyway au kishari lakini nimeangaliwa wahudumu ni wazee wa miaka 50 etc..Sijui shida nini?
Wazuri wote ugonjwa wa JULIANA uliwamaliza
 
Bukoba hamna kitu wahaya mbwembwe nyingi mjini.
Mimi nikiendaga bukoba nikitaka kupass time jioni naenda zangu kule ziwani bukoba hotel kupunga upepo.
Bukoba mjini hakuna bar wala hotel ya kisasa iliyochangamka
Kuna jamaa anaitwa instanbul atakuja soon kukutolea povu......
 
Bukoba hamna kitu kabisa kheri mara Mia Musoma kumechangamka changamka week end ukiwa na connection unapata vitoto vilaini kutoka musoma utalii college
 
Nenda SKY

Bukoba mjini bwana,,hakuna bar nzuri zenye totos kama maeneo kama mwanza ..busereser au biharamulo..Bar wanazosif ni Q bar au skyway au kishari lakini nimeangaliwa wahudumu ni wazee wa miaka 50 etc..Sijui shida nini?

Sky pale darajani hakuna kitu hadi
wamekosa hela ya kununua kifurushi Cha Dstv,
Labda jaribu kwenda Liquid bar karibu na Crdb Benki unaweza kuambulia chochote,au ungekuwa au Kama utakuwepo siku ya alhamisi nenda klabu inaitwa The mint ipo maeneo ya kengere tatu,hutajuta na ndiyo klabu ya ukweli kwa Bukoba nzima.
 
Bukoba hamna kitu kabisa kheri mara Mia Musoma kumechangamka changamka week end ukiwa na connection unapata vitoto vilaini kutoka musoma utalii college
Yaa BK pamekaa kushoto sana, ndo maana nshomiles wanapakimbia.......
 
Back
Top Bottom