Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

Bukoba: Kauli ya kanisa juu ya Padri anayedaiwa kuhusika kifo cha Mtoto mwenye Ualibino.

Baba mzazi kapata mwanya hasemwi, mjadala umebadilika....umekua ni wa kanisa

Safari yetu ni ndefu sana.
Huyo ni gaidi,na hakuna wa kumsema maana naye ni miongoni
mwa waumini ambao wanatakiwa kufundishwa na viongozi wa dini kuwa na maadili mema.
Mimi binafsi,huyo siwezi kumuita mzazi,ni fisi mla watu kama fisi wengine.
 
Lakini Directory ya Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba inaonyesha Fr.Elpidius Rwegoshora ni Padre wa Parokia ya Rutabo.

Na ni Directory hiyo hiyo inaonyesha huyo Msaidizi wa Askofu wa Jimbo, Fr.Samuel Muchunguzi ni Parish Priest wa Parokia ya Kashozi. Mnabisha nini hapa?
 
Policcm imeshikilia ukale , walitaka tu kulichafua kanisa .
 
Polisi wanadai taarifa yao haina matobo imenyooka muuaji ni Kiongozi wa dini ya Roman Catholic
Acha uongo wewe acha kuchafua kanisa kama una uthibitisho mtaje huyo paroko msaidizi kama unamfahamu na paroko wake ni nani
 
Mleta mada Acha ujinga kauli ya kanisa bado haijatolewa

Anayetakiwa kutoa kauli ya Kanisa ni Askofu WA Jimbo.ambaye Yuko safari Dar sio Askofu msaidizi WA Jimbo na kakueleza wazi kuwa Askofu WA Jimbo ndio mwenye kauli sio yeye

Usimlishe maneno askofu msaidizi WA Jimbo kuwa katoa kauli Kwa niaba ya Kanisa katoliki

Mtafute Askofu atoe hiyo kauli
 
Baba mtoto akatwe viungo nayeye.
 
kwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo.

mtazame kwa mjibu wa millardayo

View: https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs

Paroko kaua albino, na inaonekana ndio mtindo wao,polisi wamminye kisawasawa ataje mtandao wao,inawezekana hata huyo mkanushaji nae ndo walewale itakuwa
 
Acha uongo wewe acha kuchafua kanisa kama una uthibitisho mtaje huyo paroko msaidizi kama unamfahamu na paroko wake ni nani
Hua mnapenda sana kukaza hio mibichwa yenu. Habari iko wazi kabisa poroka kahusika kwenye mauaji na ndiye aliyeratibu zoezi, sasa ww unabisha nini? Paroko akihusika ndio limehisika kanisa katoliki lote? acheni kukwepesha mambo ili muonekane hakuna waovu kwenye dini yenu.
 
Back
Top Bottom