shida mnatuchafulia kanisaYani kiswahili siku hizi hatukuelewi hata tuendeleze mjadala...
Mtu katajwa..
Yupo...
Shida iko wapi!??
Asante kwa taarifa,sasa nami kwa taarifa hii nimehama kutoka kundi la wasioamini kwenda kwa wanaoamini,mtazame kwa mjibu wa millardayo
Huyo ni gaidi,na hakuna wa kumsema maana naye ni miongoniBaba mzazi kapata mwanya hasemwi, mjadala umebadilika....umekua ni wa kanisa
Safari yetu ni ndefu sana.
Policcm imeshikilia ukale , walitaka tu kulichafua kanisa .Lakini Directory ya Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba inaonyesha Fr.Elpidius Rwegoshora ni Padre wa Parokia ya Rutabo.
Na ni Directory hiyo hiyo inaonyesha huyo Msaidizi wa Askofu wa Jimbo, Fr.Samuel Muchunguzi ni Parish Priest wa Parokia ya Kashozi. Mnabisha nini hapa?
Ila huwa mnamshangilia mkisikia Mwalimu mbaroni kwa kupiga mwanafunzi na kumuua, Mhasibu kizimbani kwa kubaka mwanafunzi, Mwanasheria korokoroni kwa utapeli. Ila akitajwa Padri iweje iwe nongwa?Policcm imeshikilia ukale , walitaka tu kulichafua kanisa .
Acha uongo wewe acha kuchafua kanisa kama una uthibitisho mtaje huyo paroko msaidizi kama unamfahamu na paroko wake ni naniPolisi wanadai taarifa yao haina matobo imenyooka muuaji ni Kiongozi wa dini ya Roman Catholic
Mtuhumiwa Fr.Elpidius Rwegoshora ni Padri kutoka Parokia ya Rutabo. Paroko wake ni Fr.Godwin Rugambwa. Hapo upo?Acha uongo wewe acha kuchafua kanisa kama una uthibitisho mtaje huyo paroko msaidizi kama unamfahamu na paroko wake ni nani
Paroko kaua albino, na inaonekana ndio mtindo wao,polisi wamminye kisawasawa ataje mtandao wao,inawezekana hata huyo mkanushaji nae ndo walewale itakuwakwa majibu wa taarifa iliyotolewea na msaidizi wa askofu samuel mchunguzi ni kuwa suala hilo nao wanashangaa na hawajui kama mtajwa ni padri wao la maana hawakuhusishwa au kuulizwa kabla ya kutoa taarifa hizo.
mtazame kwa mjibu wa millardayo
View: https://www.youtube.com/watch?v=Wo0HElBQcTs
Hua mnapenda sana kukaza hio mibichwa yenu. Habari iko wazi kabisa poroka kahusika kwenye mauaji na ndiye aliyeratibu zoezi, sasa ww unabisha nini? Paroko akihusika ndio limehisika kanisa katoliki lote? acheni kukwepesha mambo ili muonekane hakuna waovu kwenye dini yenu.Acha uongo wewe acha kuchafua kanisa kama una uthibitisho mtaje huyo paroko msaidizi kama unamfahamu na paroko wake ni nani
Na inaonekana ndio tabia yao haoPolisi wanadai taarifa yao haina matobo imenyooka muuaji ni Kiongozi wa dini ya Roman Catholic