Hahahaha...nshomile ila mna tambo sana nyie, nshomile hata akiishia kidato cha nne huwa anapenda kuji present kama mtu maridadi sana, msomi. Sasa ikitokea ana PhD au ni professa au amewahi kuishi na kufanya kazi majuu na ana pesa zake, hakuna mtu ataacha kumjua....maana akianza kujitambulisha itabidi mtafute mashuka muuchape usingizi.Kijana wanajulikana kwa sababu ni kabila kubwa.
But kila kabila hizo Tabia zipo.so ni Tabia za binadamu yeyote anayo sio kabila flani.
Otherwise uwe unachuki na kabila flani.
Kuna vikabila vidogo vina Tabia za ajabu ajabu mpaka utasema wahaya ni Bora sana
Ni lifestyle kila mtu anachagua.Hahahaha...nshomile ila mna tambo sana nyie, nshomile hata akiishia kidato cha nne huwa anapenda kuji present kama mtu maridadi sana, msomi. Sasa ikitokea ana PhD au ni professa au amewahi kuishi na kufanya kazi majuu na ana pesa zake, hakuna mtu ataacha kumjua....maana akianza kujitambulisha itabidi mtafute mashuka muuchape usingizi.
Naona mnaitana vichaa wa uru.luambo makiadi nashangaa sijakuona kwenye uzi huu
Sijakufuatilia mtani ila nakuambia tu muache majigambo kupitiliza....Ni lifestyle kila mtu anachagua.
Kama hakudhuru ya Nini kumfatilia mtu
Mimi nashauri kila mtu Aishi maisha yake.Sijakufuatilia mtani ila nakuambia tu muache majigambo kupitiliza....
Sawa waitu, ila ukija musoma ni mwendo wa kushinda njaa tu maana hatunaga kawaida ya kupika vyakula laini laini....Mimi nashauri kila mtu Aishi maisha yake.
Husimpangie mtu maisha vinginevyo utateseka wew mwenyew Wala sio yeye.
Uzuru wahaya hawanaga time na watu so utateseka mwenyew tu [emoji12][emoji23]
Kwa kweli Kigoma papo vizuri sema tu watu ambao hawajawahi kufika wakisikia Kigoma mwisho wa reli wanadhani ni pa hovyo sana kumbe papo poa tu. Miji mingi sasa hvi inakuwa na kubadilika japo kasi ya ukuaji wa miji inatofautiana kutokana na sababu mbalimbali.Ila mji wa Bukoba uko hovyo sana, sikutegemea kuona mji kuwa vile kwani nilidhani ni bonge la jiji kumbe wanapitwa hata na Kigoma Ujiji.
Tatizo mnamsifia MTU hata asivyo stahili!!! Mungu akachukia!!Sawa Magu kajitahidi.
Lakini kaubagua huu mkoa kwenye stendi ya mkoa, soko kuu la mji na barabara za mjini zimechakaa Sana.
But kwa upande vijijini huko ndio Kuna mijumba na mahekalu
Ni kweli lazima tuenzi tamaduni zetu. Ila kumbuka sio kila mwanamke wa kihaya ataolewa na muhaya. Sio kila muhaya ataishi kagera. Lazima wajifunze tamaduni nyingine.Kila sehemu na utamaduni wake
Cjawahi kumchukia mtu bila sababu !!! Tupendane Watz !!!! Mimi kwetu Kilimanjaro nawapenda watz woooooooteNiombeeni jamani siwapendi watu wa huu mkoa mpaka najishanga.yooh!boojho!
UKIMWI je?Unasema bukoba hakuna migomba!!
Wakati kagera unazalisha asilimia 60 ya ndizi zote nchini.asilimia 65 ya kahawa na asilimia 20 ya maharageView attachment 1938787View attachment 1938789View attachment 1938790View attachment 1938791
Ukimwi na migomba wapi na wapi?UKIMWI je?
Ndo maana wahaya wanawaonaga mburulaUKIMWI je?
Sasa ukioa muhaya si unabidi ukubaliane na utamaduni wake!!!?Ni kweli lazima tuenzi tamaduni zetu. Ila kumbuka sio kila mwanamke wa kihaya ataolewa na muhaya. Sio kila muhaya ataishi kagera. Lazima wajifunze tamaduni nyingine.
Muhaya mpe kazi ya kupika ndizi aseee ugali na wali utakula vibichi
Hiv mtu akichukia mtu si anakuwa anaumia yeye?Cjawahi kumchukia mtu bila sababu !!! Tupendane Watz !!!! Mimi kwetu Kilimanjaro nawapenda watz wooooooote
Nani anataka kuoa muhaya siku hizi? Tembelea kumbi za sherehe Kama utajuta bi harusi muhayaSasa ukioa muhaya si unabidi ukubaliane na utamaduni wake!!!?
Kama unataka awe mkeo mfundishe sio Lazima ulazimishe kila mtu afanane na wew.
So una weak point sana
Mimi nianze kutembelea kumbi za starehe niache kutafuta hela?Nani anataka kuoa muhaya siku hizi? Tembelea kumbi za sherehe Kama utajuta bi harusi muhaya
Huyu achana nae make anataka kupoteza maana rafiki ya uzi huu kwa chuki zake mwenyewe. Kama kuna lolote la kuendelea kutiririka na adventures mbalimbali kutoka Bkb leta mkuu siku zisonge. Huna picha ya bkb club road ukaweka tukapata fahari ya macho atleast?Mimi nianze kutembelea kumbi za starehe niache kutafuta hela?
Hizo Tabia mnazo nyinyi wanyamaanga[emoji23]
Kawaida ya chuki humuumiza yule anaechukia, sasa nawashangaa wanaoendekeza chukiHiv mtu akichukia mtu si anakuwa anaumia yeye?