Uchaguzi 2020 Bukoba Mjini msifanye makosa tena tarehe 28/10

Uchaguzi 2020 Bukoba Mjini msifanye makosa tena tarehe 28/10

Unknown2

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
2,352
Reaction score
5,055
Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.

Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.

Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!

Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.

Nawatakia uchaguzi mwema.
 
Kwani kupeleka maendeleo sehem imekua hisan ya MTU mmoja , kwani wakazi Wa huko hawalipi kodi? Kama hamtaki kuwapelekea maendeleo kisa hawakuwachagua acheni pia kuchukua kodi zao.

Huyu MTU mbaguzi hatufai hata kidogo tusimchague.
 
Wewe hujielewi CCM ni janga bukoba msithubu walikula rambi rambi zenu wakawatukana wakawadhihaki wakadai hawajaleta tetemeko wala njaa Leo muwape kura Hamna big no.

Fedha za rambirambi zilitumika kujenga miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko
 
Ndio maana Lissu anataka mkombolewe kielimu. Mmezidi kuwa mazuzu. Wanachi na Raisi, bosi ni nani? Ni nani anamweka Raisi madarakani?

Katiba inasema mamlaka ya nchi ni wananchi. Mmekubali kumpa umungu binadamu. Pathetic

Hao wana nchi wa bukoba hawalipi kodi? Hiyo kodi yao haimlishi Magufuli? Haisaidii serikali?

Akili za mafisadi hizi.
 
Ndio maana Lissu anataka mkombolewe kielimu. Mmezidi kuwa mazuzu.
Wanachi na Raisi, bosi ni nani? Ni nani anamweka Raisi madarakani?

CCM wanajua Rais ni kila kitu hivyo lolote anaweza kufanya
 
Hii sio Ulaya mkuu, inabidi kuendana na hali ilivyo

Ndio maana Lissu anataka mkombolewe kielimu. Mmezidi kuwa mazuzu.
Wanachi na Raisi, bosi ni nani? Ni nani anamweka Raisi madarakani?

Katiba inasema mamlaka ya nchi ni wananchi. Mmekubali kumpa umungu binadamu. Pathetic

Hao wana nchi wa bukoba hawalipi kodi? Hiyo kodi yao haimlishi Magufuli? Haisaidii serikali?

Akili za mafisadi hizi.
 
Bukoba tumeamua na tutamchagua kwa KISHINDO JPM

October 28th Kagera yote itampa kura Magufuli.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huyu mgombea wa cdm ameanza mapema Sana kuonesha kuwa atawakwamisha wanabukoba mjini,juzi wakati wa kuapisha mawakala huyu mgombea nilimshusha viwango kabisa. Hawa ndio watakuwa wanapokea order ya mbowe ya kususia kila kitu.
 
Hizo ni siasa za kibaguzi na kutishana

Mimi sishabikii chama
Kuna mradi pale dar ulicheleweshwa na wabunge na madiwani wa chadema kwa kudhani wakifanya wataipa sifa Serikari ya CCM sasa hapo ubaguzi ulikuwa upande gani?

Hawa watu hawajawahi kupitisha bajeti, sasa haizo huduma zingewafikiaje wananchi?
 
Back
Top Bottom