Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Hatuna shida na stendi kama ni ya kwenu!Mtaendelea kukaa na stendi yenu ya vumbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuna shida na stendi kama ni ya kwenu!Mtaendelea kukaa na stendi yenu ya vumbi
Kagera tangu 2015 Hadi 2020 ni miradi gani imefanyika huku kupitia serikali ya awamu ya tano?Bukoba tumeamua na tutamchagua kwa KISHINDO JPM
October 28th Kagera yote itampa kura Magufuli.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ha haIle stend ya mabasi pale bukoba,Chadema walikwamisha isijengwe
Wana bukoba haya makosa tusirudie
Tuichague CCM ili ituletee maendeleo
Ukiletea kiburi kisima cha maji wewe ndo utakufa na kiu,Wewe hujielewi CCM ni janga bukoba msithubu walikula rambi rambi zenu wakawatukana wakawadhihaki wakadai hawajaleta tetemeko wala njaa Leo muwape kura Hamna big no.
Ha ha
Balozi Kagasheki na Mayor ..walikua chadema wakati wanazinguana kujenga stand?
Wpinzani wameikwamisha sana Bukoba mjini sasa kwa sauti Moja tumechagua Maendeleo na tutampigia KURA ZA NDIO JPM.Ka
Kagera tangu 2015 Hadi 2020 ni miradi gani imefanyika huku kupitia serikali ya awamu ya tano?
Hakuna jipya .tangu mwaka 1977 CCM ipo madarakani watu bafo ni madkini wa kutupwa.ifuteni CCM moja kwa mojaUkiletea kiburi kisima cha maji wewe ndo utakufa na kiu,
Maumivu ni yenu watu wa bukoba.
Jiulize kwa nini wewe ni masikini na kuna wengine ni matajiri, kisha uamue kuishi ma mawazo yako au kuyabadili ili siku moja uwe tajiri.Hakuna jipya .tangu mwaka 1977 CCM ipo madarakani watu bafo ni madkini wa kutupwa.ifuteni CCM moja kwa moja
Maendeleo yana sura mbili kwenye mixed economy nchi, yanayoletwa na watu binafsi, na haya ndio muhimu sana kwani yanasaidia kuiforce serikali kuwahisha huduma eneo hilo.Kongwa ni walamba miguu wa viatu vya boss lakini hawana maendeleo.
Magufuli na CCM siyo miungu,watakufa tu,wakati tukisubiri wafe kura zetu zote upunzani...Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!
Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Jiulize kwa nini wewe ni masikini na kuna wengine ni matajiri, kisha uamue kuishi ma mawazo yako au kuyabadili ili siku moja uwe tajiri.
Hata huko ulaya kuna masikini pamoja na facilities zote walizonazo.
Toka nje ya box, tatizo ulilonalo jasa ukiwa na ka elimu ka chuo basi hutaki kuanza na umachinga.
Je majimbo yafuatayo yalishawahi kuongozwa na wapinzani?Kuna mradi pale dar ulicheleweshwa na wabunge na madiwani wa chadema kwa kudhani wakifanya wataipa sifa Serikari ya CCM sasa hapo ubaguzi ulikuwa upande gani?
Hawa watu hawajawahi kupitisha bajeti, sasa haizo huduma zingewafikiaje wananchi?
Waambieni wafute tu mfumo wa vyama vingi tujue moja. Unawezaje kula keki halafu wakati huo huo unatamani uendelee kuwa nayo?Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!
Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Waambieni wafute tu mfumo wa vyama vingi tujue moja. Unawezaje kula keki halafu wakati huo huo unatamani uendelee kuwa nayo?
Maneno ya watu wa darasa la 7
Kura yangu nampa chifu
Mimi ni msomi kutoka Bukoba