- Thread starter
- #41
Tabora imebustiwa sana hasa kipindi cha awamu ya tano. Miundombinu mingi imeimarishwa. Ukifika Tabora Mjini lami ni kila kona. Kama sio kuichagua CCM wangekuwa nyuma mara tano ya walivyo sasa.
Mkoa wote wa Tabora haujawahi kuwa na upinzani lakini ndo mkoa masikini