Mkoa wote wa Tabora haujawahi kuwa na upinzani lakini ndo mkoa masikini
Kuna boss zaidi ya wananchi?Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!
Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Rambirambi zisingetolewa ingekuwaje?Fedha za rambirambi zilitumika kujenga miundombinu iliyoharibiwa na tetemeko
Mbunge wa bukoba anayemaliza muda wake ni wa Chadema
Ukiwa Chadema unaambiwa upinge kila kitu
Miaka yote bukoba mjini pabayaaaaa, sio kwasababu ya upinzani, kagasheki aliifanyia nini bukoba mjini?Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!
Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Brother. Kwa maana hiyo ambao hawakuchagua ccm hawakupata maendeleo?Wakazi wa Bukoba, naomba muelewe kuwa boss hanuniwi.
Kuendelea kuuchagua upinzani ni kuendelea kwa hiyari yenu kabisa kujitenga na maendeleo.
Jifunzeni kuenda na uelekeo wa upepo. Amkeni!
Nawakumbusha kuwa hasira hasara. Wenzenu wa Kilimanjaro wameshaliona hili na kuna uwezekano mkubwa wa wao kutorudia makosa.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Ndio maana kilimanjaro wamekuwa wakijiletea wenyewe. Haya masuala ya kulamba viatu kama kwamba ili upate maendeleo wkt ni haki yako ni upumbavu.Cha msingi endana na hali halisi iliyopo. Nyumbulika.
Mkipiga kura kishabiki maendeleo mtayasikia kwa redio