Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Inashangaza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana
Hili ni darsa zuri, bismillah warahma tuulay wabarakatu, wabilah tawfiq.Naaam Naaam Khafidh Majiin.
Asante kwa hikma na staha zenye turufu na kutaradad machoni pa Allah.
Hahahaa duInasikitisha sana kesi nyingi za ubakaji ni wavaa kobazi
Hahaaaa mkuu umetishaVIbaragashia kwa ulawiti na ubakaji watoto hawajambo
Naunga mkono hojaSasa si angetumia hiyo misaada yake kuoa wake 4 alioamriwa na Ala kuliko kuishia kujilipa sadaka zake kwa kubaka watoto....ustaadh amelaanika dunian na akhera, anyongwe
Huyu anakula kwa siri
Sunna hiyo SheikhHuyo mwalimu kwa vitendo anavyofanya mi naona hata akinyongwa ni sawa tu
yaan hawa waarim wa din wamekubuhu sana Mungu awarehem, especially Walsham jmnJeshi la Polisi mkoani Kagera limemkamata na kumfikisha mahakamani Haruna Ayubu Rubai (63), Mwalimu wa dini ya Kiislamu na Daktari wa viungo anayemiliki kituo chake cha mazoezi ya viungo Bukoba mjini kwa tuhuma za kubaka watoto.
Mtuhumiwa anadaiwa kutenda kosa hilo Oktoba 19 mwaka huu saa saba mchana katika kituo chake cha mazoezi ya viungo kilichopo Kata ya Miembeni, Tarafa ya Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, ambapo anatuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka 12, mwanafunzi wa kidato cha kwanza ambaye pia alikuwa mwanafunzi wake wa madrasa.
Taarifa ya Jeshi la Polisi imesema mtoto huyo alipelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoani Kagera kwa ajili ya kupatiwa matibabu na kwa sasa hali yake inaendelea vizuri.
Aidha, Jeshi la Polisi limeongeza kuwa mnamo Oktoba 22, 2024 majira ya saa nane mchana, Rayana Issack aligundua kuwa watoto wake wawili wamebakwa, na mara ya kufikishwa hospitalini ilithibitika kuwa wameingiliwa sehemu zao za siri ambapo baada ya kuhojiwa walimtaja mtuhumiwa Haruna Rubai kuwa ndiye aliyewabaka.
Hata hivyo, Jeshi la Polisi limegundua kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa akitumia mbinu ya kutoa msaada kwa familia zenye uhitaji kila Jumamosi, ambapo baadhi ya familia hizo huwatuma watoto wao kufuata mahitaji yao ofisini kwake, na ndipo hutumia nafasi hiyo kuwafanyia ukatili huo.
Source: Swahilitimes
Kwani ni wote mkuu?Waislam kwa kubaka wako vizuri
SanaaTuseme ukweli tu,madrasa watoto wanapelekewa moto sana tena jinsi zote
Duh kazi ipoHata mtume alioa 9yrs, si ajabu jamaa wanapenda vitoto na mipalange
Unaniuziaga wewe ?Huyu anakula kwa siri
SadSanaa
Sema wanazalilishwa Sana ubakiji na ulawiti ,kupelekewe Moto n ridhaa kwa hao Malaya wa mtaani .Watoto hawana hatia sema hao mashetani wanao kuwa nao.Tuseme ukweli tu,madrasa watoto wanapelekewa moto sana tena jinsi zote
Inaumiza sana aiseeSema wanazalilishwa Sana ubakiji na ulawiti ,kupelekewe Moto n ridhaa kwa hao Malaya wa mtaani .Watoto hawana hatia sema hao mashetani wanao kuwa nao.
Apate adhabu kali iwe fundisho kwa wengine wenye tabia chafu kama hizoSunna hiyo Sheikh
Pole sana,kama wameshawahi kukubakaWaislam kwa kubaka wako vizuri