Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Alisema Ndege itakayoanguka 'itakatika Vipande Viwili' na Ina Logo nyekundu!
Yote hayo hayajatokea Kwa Precision!
Msimpe TU Sifa za Kijinga!!
Acha upuuz aliona maono na ajali imetokea kweli ya ndege hate hvyo aliomba kwa mungu hayo yasitokee kbsaa
 
Acha upuuz aliona maono na ajali imetokea kweli ya ndege hate hvyo aliomba kwa mungu hayo yasitokee kbsaa
Pimbi, hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI
 
Pimbi, hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI
Sasa mbona wametumia jina la ndege ya watu. Ujinga huu haupendezi.
 
Mkuu hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI.
Hmn bhna kwa hyo hyo ndege ya precious air ndio waitoe kafara kufanya zoezi Hilo wkt Ni kampuni binafsi ,kwann isiwe atcl

Hi ajali Ni kweli kbsa
 
Jeshi la tz liko kisiasa ,mfano Moto mlima Kilimanjaro ,Ilibidi itumike teknolojia ya drones kuuzima lakn cha kushangaza ata Helikopta hakuna ,watu wanapanda mlima kwa miguu kuelekea eneo la tukio
😂Kuna mtu alitoa ushauri zinunulike drone serikali ilipinga, helicopter pia ndio zinatumika kubeba wanasiasa, sasa kupanda mlima kwa mguu kitu kinachochukua days ,niliona pia wanazima moto kwa kutumia fimbo😂
 
Hiyo ajali wote watapona labda mtu afe kwa BP. Ingelipuka ndio ingekuwa fatal
 
Ni ya tatu hii hapo bukoba...kuna auric pia ilishawahi kuanguka hapo miaka ya 2015...

Huo uwanja upanuliwe kuelekea ziwani na uwekewe taa....
 
Pimbi, hii sio ajali, ni zoezi tu la kupima uwezo wa uokozi endapo ajali halisi itatokea. Inaitwa AJALI ZOEZI
Hkn kitu kama hcho Wala haijawai tokea kwann itumike ndege binfsi mkwann isiwe atcl kafanya mazoezi hayo kwann iwe kampuni binafsi

Kwa hyo kwa akili yako precision wameisacrifice ndege yako embu kuwa na akili hata nusu tu ya umri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…