Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Nimemsikia RPC akisema ndege ilikuwa na abiria around 40+ mpaka sasa wameokelewa around 26+
Kwa bongo inavyokuwa vifo vitatokea kwa uzembe hilo tulitarajie. Ndege imepata ajari wanaiona hapo ila kuna mitumbwi ya kuokoa na pale napajua pembeni upande wa kulia tumeogelea sana utotoni pako karibu na dock ila hata vifaa vya kuokolea hamna. Mamlaka wanahangaika kwa ndege ya watu 40 hata ukiogelea unaifikia sasa imagine iwe ni meli yenye mamia inazama ziwani mbali kilomita ngapi uko
 
Hii Ajari Kuna watu mnataka kuitumia ili mjipatie umaarufu wa kijinga ,sijui mtabiri nk

Acheni hayo mambo hakuna hata binadamu mmoja mwenye huwezo wa kufahamu kuhusu Kesho Nini kitatokea Katika Maisha ya Binadamu.
 
Kaka nipe ujuvi wa abiria wa kujua eneo halisi kama Kitonga nikiwa zaidi ya kilometa 5 juu.
Maeneo ya iringa
Iringa ni mwinuko mkali, ndio hizo kitonga

Coz ilikua my first time, kuna mtu akaniambia hii ni iringa ndio maana hali hii ya kutikisika /kuyumba

Na kwenye milima kani ya uvutano inakua kubwa
Kama physics ipo kichwani

Siku-locate position kwa kuangalia dirishani
 
Ndugu hata hizo za mashirika ya kimataifa, likitokea la kutokea imo. Nakumbuka 2015, Turkish Airline, rubani alitua vibaya sana si kwa kishindo kile ardhini. Hiyo siku nilijamba sana kwa hofu, tumbo lilijaa gesi vibaya mno
 
Basi utabiri itakuwa rahisi sana ndio maana manabii fake wanaweza.
Na mimi natabiri kuna ajali ya gari yenye abiria itatokea tanzania kwenye barabara siku za hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…