Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Wavuvi washukuriwe kwani Mwenzetu umeshapata Taarifa za uhakika na Kuona Watu waliookolewa? Kwa jinsi ilivyozama utaokoaje Watu? Labda mniambie Ndege ivutwe hadi Maji ( Kina ) kifupi kidogo nitawaelewa ila kama ilivyo sasa nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa kuna Mhaya ( Kiumbe ) Kaokolewa humo.
 
MV Bukoba imezama wanaiona...
Wahaya watatuambia kwanini Ndege hiyo imeangukia Bukoba na wala siyo Musoma ambako na kwenyewe Ziwa lipo vile vile. Watanikoma leo.....!!!!!!
 
Dah, ni bora hingeangukia uko Mwanza maana hisingekuwa na abiria....hila wahaya jamani tuanze kupanda private jet sasa...Maana ii ni atari himekuwa. Usafiri wa umma mbaya.
 
Hawa wanaleta siasa but believe me hali si kama watu wa ....wanavyo push agenda zao humu,kukaa tu 20 minutes hapo unaponaje,hizi siri siri sijui faida ni ipi ,africans puuuh!
 
Dah, ni bora hingeangukia uko Mwanza maana hisingekuwa na abiria....hila wahaya jamani tuanze kupanda private jet sasa...Maana ii ni hatari himekuwa. Usafiri wa umma mbaya.
Wahaya wana matatizo sana. Wawajibishwe.
 
Kwanza kabisa ndege hiyo ilishazima tangu ilipozama kwenye ziwa sasa oxygen wanaipata kutokea wapi hata kama maji hayakaingia ndani ya cabin?
 
Ila na nyie vipi,umesahau alivyosema wkt ule kuna watu walisali kwa jina la Yesu kukemea.Yamkini imesaidia kuokoa madhara.Kornerio alipotabiriwa kuwa baada ya muda fulani atakufa, alipofanya maombi aliongezewa siku lkn bado suala la kufa halikuondolewa.Yamkini ajali ilikusudiwa lkn maombi ya watu yamesaidia kupunguza ukali wa baya lililokuwa liambatane.Haya mambo usiyatazane kwa jicho moja tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza kabisa ndege hiyo ilishazima tangu ilipozama kwenye ziwa sasa oxygen wanaipata kutokea wapi hata kama maji hayakaingia ndani ya cabin?
Just imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
 
Kwa hiyo maombi ya watu yakaibadili logo kutoka kuwa nyekundu ikawa nyeupe au sio
 
Sawa umepatia, unafikiri mashirika ya ndege USA na ulaya Kwa ujumla ndege zao zikifika eneo kama hilo abiria wana experience hali tofauti na kuwa comfortable!?, Hata ndege ziwe mpya vipi turbulence haiepukiki na mabadiliko ya hali ya hewa na maeneo yote yenye milima huwa yanazingua ndege, mpaka Sasa hakuna ushahidi wa ajali za ndege kuonekana nyingi Africa kwasababu yeyote, uwiano upo sawa mabara yote. Sema post yako Ili base kukandia ndege za bomberdier alizoagiza JPM na Kwa kukukosoa zote zilitoka Canada zikiwa mpya kabisa. Chuki na kudharau vya nyumbani vinatufanya tuongee tusiyoyajua, sikulaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…