GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wavuvi washukuriwe kwani Mwenzetu umeshapata Taarifa za uhakika na Kuona Watu waliookolewa? Kwa jinsi ilivyozama utaokoaje Watu? Labda mniambie Ndege ivutwe hadi Maji ( Kina ) kifupi kidogo nitawaelewa ila kama ilivyo sasa nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa kuna Mhaya ( Kiumbe ) Kaokolewa humo.Ziwa Victoria haina Marine Rescue Coordination Centre (MRCC) iliyo active. Maana ndege na meli zinashare distress signal. Endapo meli au ndege ikipata ajali, meli au ndege yoyote inabidi ikaongeze nguvu kuokoa.
Wavuvi washukuriwe sana, hapo zimekosekana meli kubwa kwenda kutoa msaada