Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Kwahyo watu waliposali ndege ikabadirika rangi kutoka nyekundu mpaka kijani, ikaamua iangukie na majini ambapo ndiyo hatari zaidi?
Kweli maombi yana nguvu sana
 
Just imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
Kukaa under water Kwa dk 15 tuu , inatosha kuwaondoa wote , kimsingi sidhani kama kuna majeruhi , labda wakianza kushuhudia
 
I got u

But inabidi ukumbuke ata mimi anko magu nilikua namuelewa vizuri tu, japo sio sukuma gang

Kwaio sikuandika kwa chuki or roho mbaya

Shukrani mkuu, kwa kunielewesha[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ila yeye alisema Ndege itakuwa na Logo nyekundu na itakatika katikati.
Utabiri wake hauendani na hii ajali ya bukoba

Focus Kwenye Content , achana na Details.

Kiuhalisia alipata hiyo TAARIFA akiwa kwenye ulimwengu wa ROHO Yaani spiritual realms , Ukishaingia kwenye mwili na damu for TRAnslation ya kile ulichokiona Kwenye invisible realms Kunakuwa na errors as you know human kind is imperfect being and fallible.

Kwa watu wenye maono, they don’t give details na hutakiwi kutoa details, only content and subject matter, hii ni kwa Sababu human is imperfect Kwenye ku convert spiritual energy into body energy.....

You should learn how scientists came into power. Hayo macalculations and innovation huwa watu wanaoneshwa na ku translate into world.

Utabiri wake ulikuwa sawa na wenye akili hasa serikali ilipaswa ku pay attention [emoji3544] on the other hand kuhakikisha maeneo yote hatarishi ya viwanja kunakuwa na contingency plan for future uses .
 
Rubani wa ndege ya Precicion Air iliyopata ajali ziwa Victoria leo, Kapteni Buruhani Rubaga (pichani) ni mzoefu katika sekta ya anga kwa miaka 20, huku msaidizi wake, akijulikana kama First Officer Peter Omondi.

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amesema kuwa mawasiliano kati ya marubani walio ndani ya ndege na mamlaka yanaendelea.

Ndege hiyo namba PW 494, ina miaka 12 tu kazini; kwa wanaofuatilia mambo ya ndege na teknolojia ya anga, ndege hiyo bado ni mpya na kama mamlaka zilivyosema kuwa hali ya hewa ndiyo iliyosababisha ajali hiyo, naungana nao.

Waliowahi kusafiri na ndege hiyo wanaisifu kwa huduma nzuri na umahiri wa marubani.

Ndege hiyo ilikuwa inatokea Dar es Salaam kuelekea Bukoba.

Taarifa zaidi zitatolewa na mamlaka husika.
#precisionair
 
Kukaa under water Kwa dk 15 tuu , inatosha kuwaondoa wote , kimsingi sidhani kama kuna majeruhi , labda wakianza kushuhudia
Kwa wenye Akili Kubwa hapa tu uliposema kuwa Kimsingi hudhani kama kuna Majeruhi mpaka sasa tumeshakuelewa hivyo ngoja wengine sasa tuanze Kukariri Nyimbo za Huzuni, Mapambio na tuandae Mishumaa.
 
Ni aibu kubwa
 
Una uhakika na ulichoandika? Ni kuwa ndege ilishindwa kutoa magurudumu
 
Technically ndege ipo sealed kias kwamba ikiwa angani hairuhusu hewa kuingia. Same as kwa hilo tukio ndege kuingia ndan ya maji.

Maji yatakayofanikiw kuingia hayatakuwa mengi..

Hivyo Raia wapo salama kwa asilimia nyingi isipokuwa wale waliopata mshtuko wa hapa na pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…