mkubwa
Member
- Jul 15, 2014
- 93
- 78
Itafahamika tu, acha waendelee na sound zao.Sijui ni kwanini Mamlaka za Tanzania na Watawala wanapenda mno kutufanya Watanzania wote tupatao 61,741,120 ni Mipan'gang'a / Mipumbavu daima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafahamika tu, acha waendelee na sound zao.Sijui ni kwanini Mamlaka za Tanzania na Watawala wanapenda mno kutufanya Watanzania wote tupatao 61,741,120 ni Mipan'gang'a / Mipumbavu daima.
Kwahyo watu waliposali ndege ikabadirika rangi kutoka nyekundu mpaka kijani, ikaamua iangukie na majini ambapo ndiyo hatari zaidi?Ila na nyie vipi,umesahau alivyosema wkt ule kuna watu walisali kwa jina la Yesu kukemea.Yamkini imesaidia kuokoa madhara.Kornerio alipotabiriwa kuwa baada ya muda fulani atakufa, alipofanya maombi aliongezewa siku lkn bado suala la kufa halikuondolewa.Yamkini ajali ilikusudiwa lkn maombi ya watu yamesaidia kupunguza ukali wa baya lililokuwa liambatane.Haya mambo usiyatazane kwa jicho moja tu
Wahaya wote wahojiwe na wawajibishwe.Duh! MV Bukoba ikawa shida, ndege nayo inakuwa shida , basi angalau daraja la busisi liwe mkombozi wetu
Mlango wa dharula ufunguke ndani ya maji eti?Ndani ya ndege kuna watumishi maalumu kwa ajili ya kutoa msaada kama janga likitokea! Wanafahamu milango ya dharula ilipo!
Kukaa under water Kwa dk 15 tuu , inatosha kuwaondoa wote , kimsingi sidhani kama kuna majeruhi , labda wakianza kushuhudiaJust imagine imezama saa mbili ,halafu almost 87 percent ndani ya maji,how is possible mtu achomoke hapo,wamefunguaje ule mlango hao wavuvi,na wameanza kuokoa muda gani baada ya impact?TBC,ITV Na nyingine zote zipo kimya why?
I got uSawa umepatia, unafikiri mashirika ya ndege USA na ulaya Kwa ujumla ndege zao zikifika eneo kama hilo abiria wana experience hali tofauti na kuwa comfortable!?, Hata ndege ziwe mpya vipi turbulence haiepukiki na mabadiliko ya hali ya hewa na maeneo yote yenye milima huwa yanazingua ndege, mpaka Sasa hakuna ushahidi wa ajali za ndege kuonekana nyingi Africa kwasababu yeyote, uwiano upo sawa mabara yote. Sema post yako Ili base kukandia ndege za bomberdier alizoagiza JPM na Kwa kukukosoa zote zilitoka Canada zikiwa mpya kabisa. Chuki na kudharau vya nyumbani vinatufanya tuongee tusiyoyajua, sikulaumu.
Ila yeye alisema Ndege itakuwa na Logo nyekundu na itakatika katikati.
Utabiri wake hauendani na hii ajali ya bukoba
Kwa wenye Akili Kubwa hapa tu uliposema kuwa Kimsingi hudhani kama kuna Majeruhi mpaka sasa tumeshakuelewa hivyo ngoja wengine sasa tuanze Kukariri Nyimbo za Huzuni, Mapambio na tuandae Mishumaa.Kukaa under water Kwa dk 15 tuu , inatosha kuwaondoa wote , kimsingi sidhani kama kuna majeruhi , labda wakianza kushuhudia
Ili iwe rahisi kuosha ndege zikichafuka wanasukuma hadi ndani ya maji wanamwagia sabuni ya ungaNiulize wataalam humu, hivi kwa nini vuwanja vya ndege bukoba na mwanza sijui sehemu nyingine viko kando kabdo ya ziwa?
Afadhali Mungu katuepushia watu namna yako kuwa wahudumu wa ndege, maana ungefungua milango ya dharula ndani ya maji.Ndani ya ndege kuna watumishi maalumu kwa ajili ya kutoa msaada kama janga likitokea! Wanafahamu milango ya dharula ilipo!
Ni aibu kubwaMitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa , inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji , na ajari imetokea karbu na uwanja hapo na sio far away ,kweli hii nchi ipo Zama za kijenkitile ngwale,
Una uhakika na ulichoandika? Ni kuwa ndege ilishindwa kutoa magurudumuTaarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata Ajali jirani kabisa na Uwanja wa Ndege wa Bukoba, sababu ni kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya. Haikuangukia kwenye maji kabisa ila kwenye tope zaidi. Hakuna Majeruhi wala Vifo. Wote wameokolewa.'
Taarifa zilizopo ni kwamba Precision Air ilipata Ajali jirani kabisa na Uwanja wa Ndege wa Bukoba,sababu ni kutokana na Hali ya hewa kuwa mbaya. Haikuangukia kwenye maji kabisa ila kwenye tope zaidi. Hakuna Majeruhi wala Vifo. Wote wameokolewa.
Sio poa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Mpaka sasa umeshaokoa Majeruhi wangapi?