Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Kuna uzi mtu alitabiri kama wiki mbili zilizopita kwamba kuna ndege itaanguka TZ na akaishia kula matusi. Huu hapa

 
Pamoja na yote, ndege ndiyo Usafiri salama zaidi kuliko wowote.
 
Huwezi amini vyombo vya habari vya Tz breaking news wameipata hapa Jamiiforums na wengine zinapita dk kadhaa hapa lakini bado hakuna breaking news la tukio hili. Tupo nyuma sana ndugu zangu watanzania
 
Haukupiga kelele maweee kama mzee George Kahama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…