johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Poleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ubishi mzee hapo ndo eneo ambalo yale maelezo yote yanafanya kazi. Nje na ndani ya ndege.Hapo maelekezo hayakusaidii maana tayari uko ndani ya ndege, kwenye maji
Pamoja na yote, ndege ndiyo Usafiri salama zaidi kuliko wowote.Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria
View attachment 2408189
View attachment 2408195
===
NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWANI BUKOBA
Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji wa abiria unaendelea.
Taarifa kwa kina zinafuata
maroon7Thread 'Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria' Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria
Lakini Sio huku afrika mkuuPamoja na yote,ndeheyndiyo Usafiri salama zaidi kuliko wowote.
Huyo atakuwa ndio rubani na kaidondosha yy..Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....
Yule jamaa ni mchawi
Heheee ila Precision wao si kijaniThread 'Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria' Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria
Haukupiga kelele maweee kama mzee George Kahama?Aanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Mika 5 nyuma nakumbuka natoka dar naenda mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi