Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Ndege ilikua na jumla ya abiria 39 tu 38 wakubwa katotoo kamoja.
 
Sasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.
 

Waliokolewa ni 28.
 
43 ni abiria ama pamoja na wafanyakazi wa kwenye ndege?
 
Huyo aliyepewa ubunge wa EA na kumuacha @paschalmayalla.
Familia ya Mzee Kachwamba ukoo wa panya walikula KCU hadi kubaki mifupa na bado wanae na wajukuu wanazawadiwa vyeo huko CCM...smahani wakuu nimekuwa too emotional na kusahau "msiba"
Huyo Kachwamba nimemsikia mzee anamsema miaka kama 15 imepita. Kuna jambo alifanya kwenye mamlaka yake
 
Makamu wa Rais tu mwenyewe sijawai mjua sura wala kichwa chake.
Hupo tu yule alifaa kuwa Paroko huku aliko basi tu!
Serkali za kiafrica zinadanganyana wakati wafrika tokea awali walitawaliwa kichifu na kitemi haya mambo ya demokrasia ya kimagharibi ni kupotezeaana wakati tu!
Ndo maana unaona hatusogei , mfano mtu akiiba au kusababisha madhira makubwa kwa taifa anaanza kutetewa na wanaharakati uchwara!
 
Walifungua milango ?maji hayakuingia kwenye ndege ?Puzzle.

Kuna uwezekano mkubwa hao 19 wamefariki kutokana na impact, walikuwa trapped, walikuwa majeruhi waliohitaji usaidizi...

Maana inavyoelezwa hiyo ndege ni kama ilitanguliza pua chini wakati ikitafuta usawa wa kutua...(tafsiri ya hii ni kuwa rubani alipoteza control wakati wa kutua)...
 
Aliyetoa hiyo taarifa ni bingwa wa Uongo, RC Chalamila.

Siyo Precision.
 
Jana niliona kwenye taarifa ya habari kamanda wa Polisi akipokea "kitendea kazi" kwa ajili ya kufanya doria kwenye barabara kuu ya mkoa wa Pwani ili kuzuia ajali za barabarani, unajua ni kifaa gani alikuwa anazindua tena kwa kukata utepe ....GARI AINA YA TOYOTA PROBOX mtumba hadi taa zimeishafifia ule ungavu wake. Wananchi kuvuta ndege kwa kamba kama kokolo la sangara haishangazi sana. Tunakopa kununua V8. Pumbavu sana!
 
Inaudhi sana... Alafu Kila kiongozi wa serikali anamiliki V8 ya mamilioni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…