Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
Wamefariki kwa uzembe
Nchi viongozi wote ni idiots, mijizi na kuendekeza starehe. Yanaiba hela yanaenda China na dubai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefariki kwa uzembe
Ndege ilikua na jumla ya abiria 39 tu 38 wakubwa katotoo kamoja.Inamaana kwa taarifa hii Rubani hajajumuisha katika watu waliopoteza maisha? Lakini mkuu wa mkoa Chalamila alikuwa naongea watu 26 kuokolewa mbona namba imeanza kuleta mkanganyiko!
Ndege ilikuwa na jumla ya watu 43
waliookolewa 26
waliofariki 19
Hapo kuna walakini ngoja tuvumuilie tutapata taarifa zote kwa usahihi! Polen sana nyote!
Sasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.Watu 19 wamethibitika kufariki dunia katika ajali ya ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Precision, iliyotokea mapema hii leo mkoani Kagera.
Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Dar es kwenda Bukoba mkoani Kagera, na ilipata ajali hiyo ikiwa na watu 43 ndani.
Ajali hiyo imetokea katika ziwa Victoria, takribani mita 100 kabla ya ndege hiyo kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba.
UPDATE: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini watu wawili wanaozidi kwenye idadi iliyoainishwa mwanzo ya watu 43. Hatua hiyo imekuja baada ya kupatikana kwa miili 19 ya waliofariki huku wengine 26 kuokolewa hivyo kufanya idadi ya watu kuwa 45.
YaniNchi viongozi wote ni idiots, mijizi na kuendekeza starehe. Yanaiba hela yanaenda China na dubai
43 ni abiria ama pamoja na wafanyakazi wa kwenye ndege?Inamaana kwa taarifa hii Rubani hajajumuisha katika watu waliopoteza maisha? Lakini mkuu wa mkoa Chalamila alikuwa naongea watu 26 kuokolewa mbona namba imeanza kuleta mkanganyiko!
Ndege ilikuwa na jumla ya watu 43
waliookolewa 26
waliofariki 19
Hapo kuna walakini ngoja tuvumuilie tutapata taarifa zote kwa usahihi! Polen sana nyote!
Huyo Kachwamba nimemsikia mzee anamsema miaka kama 15 imepita. Kuna jambo alifanya kwenye mamlaka yakeHuyo aliyepewa ubunge wa EA na kumuacha @paschalmayalla.
Familia ya Mzee Kachwamba ukoo wa panya walikula KCU hadi kubaki mifupa na bado wanae na wajukuu wanazawadiwa vyeo huko CCM...smahani wakuu nimekuwa too emotional na kusahau "msiba"
Hupo tu yule alifaa kuwa Paroko huku aliko basi tu!Makamu wa Rais tu mwenyewe sijawai mjua sura wala kichwa chake.
Walifungua milango ?maji hayakuingia kwenye ndege ?Puzzle.
Wanasema huko hali ya hewa si njema.
Aliyetoa hiyo taarifa ni bingwa wa Uongo, RC Chalamila.Precision air Waka matwe Kwa kutoa taarifa za uongo , watu 26 wame okolewa kupitia wpi? watu wako hapo , boat zime zingila ndege na hatuoni watu wakitolewa ndani ya ndege, ni ujinga gani kutangazia mme okoa watu 26 bila kuonyesha ni mahali walikopitia, na kudanganya eti Kuna watu wamebaki , ukweli ni kuwa hakuna kilicho okolewa.
Serikali Ina wajibika moja Kwa uzembe mkubwa, uliona wapi ndege Ina vutwa na kamba za katani au small boats kama hizo toka asubuhi? Kwakua ndege ipo sehemu ambayo haiwezi zama na hatuna vifaa vizito kama cranes/ tinga tinga za kuvuta au kunyanyua basi tutoboe kama safety procedure zitaruhusu kuokoa abiria.
Abiria walikuwa 39, two pilots and two cabin crew... jumla yao 43.43 ni abiria ama pamoja na wafanyakazi wa kwenye ndege?
Nakazia hili swali!Watu 26 wame okolewaje? , Wamepitia sehemu gani ambapo waliobaki hawawezi kupita?
Acha dharau boss hapa tunaangalia nafsi hai! Unaposema katoto kamoja maana yake nini?Ndege ilikua na jumla ya watu 39 tu 38 wakubwa katotoo kamoja.
Hawana vifaa kutokana na aina ya majanga yanayotokea, unategemea wafanye nini?Jeshi la Zimamoto na uokoaji leo wameniangusha sana.
Jana niliona kwenye taarifa ya habari kamanda wa Polisi akipokea "kitendea kazi" kwa ajili ya kufanya doria kwenye barabara kuu ya mkoa wa Pwani ili kuzuia ajali za barabarani, unajua ni kifaa gani alikuwa anazindua tena kwa kukata utepe ....GARI AINA YA TOYOTA PROBOX mtumba hadi taa zimeishafifia ule ungavu wake. Wananchi kuvuta ndege kwa kamba kama kokolo la sangara haishangazi sana. Tunakopa kununua V8. Pumbavu sana!
Inaudhi sana... Alafu Kila kiongozi wa serikali anamiliki V8 ya mamilioni!!Mitumbwi ya mbao ndo inaenda kuokoa, inajulikana wazi , huo uwanja upo karbu na ziwa , ajali kama hzi kikawaida ilitegemewa , mana duniani kote 80 % ya ajali za ndege hutokea during take_off and during landing , sasa wanakosaje facilities za uokozi kwenye maji , na ajari imetokea karbu na uwanja hapo na sio far away ,kweli hii nchi ipo Zama za kijenkitile ngwale,
Jeshi la Zimamoto na uokoaji leo wameniangusha sana.