Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Aiseee! Mungu wangu
 
Hahahahahah ukaona uchanganye dini zote, Mungu aamue mwenyewe akuokoe kupitia dini gani.
 
Kuna mtu alitabiri juzi hapa kuwa ndege itaanguka tena hapa jamii forums....

Yule jamaa ni mchawi
Yule jamaa mchawi kweli aiseee!

Au kaiangusha mwenyewe ili utabiri utimie!?[emoji848]
 
Mmmh ndugu yangu. Turbulence kwa ndege ni kitu cha kawaida. Hata hayo ma airbus na boengs za wenzetu hupitia hali hiyo ktk baadhi ya maeneo.
 
Ila yeye alisema Ndege itakuwa na Logo nyekundu na itakatika katikati.
Utabiri wake hauendani na hii ajali ya bukoba
 
Halafu hao serikali inatumia mtumbwi kuokoa watu? Hii nchi viongozi ni mbwa? Tokea 1996 MV Bukoba hatujajifunza tu? Mbwa hao viongozi
 
Acheni chuki zisizo na msingi. Mitumba ni hii inaanza kudondoka hovyo. Si mlikuwa mnaona awamu ile ya wanoko ngojeni tu ability zitakaa Sawa huu ni mwanzo tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…