Taifa Digital Forum
Member
- Jun 4, 2022
- 68
- 184
Hayo ni maneno ya wanasiasa wa Tanzanial!Sasa RC alisema kuwa walikuwa wanawasiliana na rubani. Pia na kuna watu wengine ndani walikuwa na mawasiliano nao. Very questionable statement
Ule mlima miaka ya 2000 ulikua unatisha sana.Mkorea uliona Jerusalem hii hapa..hilo eneo mwaka 2013.nilipanda bus maarufu la Moro rangi ya Simba, tulipoanza mteremko kutoka ilula bus likafeli break...mule ndani hakuna alioeonekana mpagani ...zilipgwa sala hatari..Mungu alituifikisha comfort..salama. ila wengi tulihama bus.na kuendelea na safari
Simu za mkononi lazima zilikuwa zikifanya kazi maana mitambo mingine kwenye ndege ilikuwa haifanyi kaziSasa RC alisema kuwa walikuwa wanawasiliana na rubani. Pia na kuna watu wengine ndani walikuwa na mawasiliano nao. Very questionable statement
Labda wengine wali simama [emoji81]bongo mambo ni mengiSasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.
Wale walikufa kirahisi maana walikuwa wamefunga mikanda tayariUongo. Nenda kaangalie ushuhuda wa alienusurika. Ndenge ilipondondoka yu maji yaliingia kwenye ndege na waliokaa siti za mbele wote walizama. Hawa wa nyuma walipona maana mfanyakazi wa ndege alifungua mlango wakatoka.
So walikuwa wanapiga simu wakiwa under water?Simu za mkononi lazima zilikuwa zikifanya kazi maana mitambo mingine kwenye ndege ilikuwa haifanyi kazi
Kwa hio haitajulikana nini kilisababisha?We are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.
Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Ila Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.Wale walikufa kirahisi maana walikuwa wamefunga mikanda tayari
MtanikumbukaWe are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.
Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Hii imefungua macho kua:
-Maji yaliingia ndani kuanzia mbele likely impact ya kujikita kwenye tope ilitoboa mbele.
-At first waliokaa nyuma Walijiokoa wenyewe na walipotoka nje hakukua na vifaa vya kueleweka (see mtumbwi usio na engine).
-Hali ya hewa ilisababisha yote
-Je baada ya rubani kuona kashindwa kutua mara ya pili why hakupeleka ndege mwanza as promised? Je mafuta aliyokua nayo yalikua yanaweza ifikisha ndege Mwanza?
-Je Iliserereka mpaka ziwani au aliona afanye emergence landing since no way out?
Hii ni analysis ndogo based on maneno ya huyo abiria?
Poleni sana mliofikwa na mtihani