Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Watu 19 wamethibitika kufariki dunia katika ajali ya ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Precision, iliyotokea mapema hii leo mkoani Kagera.

Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Dar es kwenda Bukoba mkoani Kagera, na ilipata ajali hiyo ikiwa na watu 43 ndani.

IMG-20221106-WA0044.jpg
 
Mkorea uliona Jerusalem hii hapa..hilo eneo mwaka 2013.nilipanda bus maarufu la Moro rangi ya Simba, tulipoanza mteremko kutoka ilula bus likafeli break...mule ndani hakuna alioeonekana mpagani ...zilipgwa sala hatari..Mungu alituifikisha comfort..salama. ila wengi tulihama bus.na kuendelea na safari
Ule mlima miaka ya 2000 ulikua unatisha sana.

Kitonga ni kitonga kweli.

Halafu bus ije ku-fail break, lazima mpoteane
 
Maneno ya huyu ni kwamba walijiokoa wenyewe.

View attachment 2408639

Hii imefungua macho kua:

- Maji yaliingia ndani kuanzia mbele likely impact ya kujikita kwenye tope ilitoboa mbele.

- At first waliokaa nyuma Walijiokoa wenyewe na walipotoka nje hakukua na vifaa vya kueleweka (see mtumbwi usio na engine).

- Hali ya hewa ilisababisha yote

- Je baada ya rubani kuona kashindwa kutua mara ya pili why hakupeleka ndege mwanza as promised? Je mafuta aliyokua nayo yalikua yanaweza ifikisha ndege Mwanza?

- Je Iliserereka mpaka ziwani au aliona afanye emergence landing since no way out?

Hii ni analysis ndogo based on maneno ya huyo abiria?

Poleni sana mliofikwa na mtihani
 
Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo, so sad hata kuokoa tu ni tatizo. Ngozi hii labda imelaaniwa kweli eeh
 
Uongo. Nenda kaangalie ushuhuda wa alienusurika. Ndenge ilipondondoka yu maji yaliingia kwenye ndege na waliokaa siti za mbele wote walizama. Hawa wa nyuma walipona maana mfanyakazi wa ndege alifungua mlango wakatoka.
Wale walikufa kirahisi maana walikuwa wamefunga mikanda tayari
 
We are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.

Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
 
Kwa hio haitajulikana nini kilisababisha?
 
We are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.

Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Mtanikumbuka
 
Hii imefungua macho kua:

-Maji yaliingia ndani kuanzia mbele likely impact ya kujikita kwenye tope ilitoboa mbele.

-At first waliokaa nyuma Walijiokoa wenyewe na walipotoka nje hakukua na vifaa vya kueleweka (see mtumbwi usio na engine).

-Hali ya hewa ilisababisha yote

-Je baada ya rubani kuona kashindwa kutua mara ya pili why hakupeleka ndege mwanza as promised? Je mafuta aliyokua nayo yalikua yanaweza ifikisha ndege Mwanza?

-Je Iliserereka mpaka ziwani au aliona afanye emergence landing since no way out?

Hii ni analysis ndogo based on maneno ya huyo abiria?

Poleni sana mliofikwa na mtihani

Labda aliambiwa sasa unaweza kutua akahamua atue.

Black Box itatupa taarifa kamili kama SIASA haitaingilia!
 
Aliyeturoga atuague asee...viongozi hivi kwann hawajifunzi kua proactive na majanga, kutwa kucha kutoza Kodi Kwa manufaa Yao binafsi, it's a shame as a country kupoteza Roho 19 Kwa uzembe, may their souls rest well
 
Back
Top Bottom