Yaani hizi familia zifungue tu kesi. Hawa walipe mabilion ndo wajifunze.Precision Air nao ndege zao nyingi ni changamoto. Mara kwa mara huwa zinapata hitilafu za kiufundi. Nahisi wangechunguza kwanza mandege yao yote.
Mbona hakuna la ajabu hapo, katika mazingira kama hayo inawezekana kuna waliokuwa wakiokoa nao wakafariki, inawezekana idadi ya waliotajwa haikujumuisha baadhi ya watendaji kimakosa. Lolote linawezekana.Sasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.
Emergency landing on water was the safest way to kuokoa Roho za watu kuliko angefanya alternative kumbuka pilot on command anajua Nini Cha kufanya and maybe walikubaliana wakaona kurudi Mwanza itacost all people on boardIla Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Itategemea makosa yamefanywa na nani.Ila Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Nadhani baadhi yao maji hayakuwafikia inaelekea ndege ilitanguliza nose chini ya maji ikajikita wengine wakawa juu wale waliokaa seat za nyumaSo walikuwa wanapiga simu wakiwa under water?
Sanaaaa yanii kwenye hili serikali inabidi ibebe lawama 100% miaka 61 ya uhuru ndege inavutwa na mikono??inamana wale jeshi la Maji hawapo? Wangeshindwa saidia? Roho inaniuma as if Nina ndugu yangu mule ndaniIla Tanzania suala la uaokoaji nalo ni shida mno. Naimani uokoaji ungekuwa wa haraka asingekufa mtu, labda wale wa kufa kwa shock tu.
Siasa haiwezi kuingilia. Ajali za ndege lazima ziwe na foreign investigators. Lazima engineers kutoka kampuni walotengeneza hii ndege watakuja kuchunguza na in most cases ni kujua kama ni engineering fault au human error. Likely pia American investigators watakuwepo. So hapa hamna kuficha. Walotoa taarifa za uongo kazi kwao. Yote yatafahamika tuLabda aliambiwa sasa unaweza kutua akahamua atue.
Black Box itatupa taarifa kamili kama SIASA haitaingilia!
Hapo ina maana gani mkuu ni ukwepaji wa kodi amaWe are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.
Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Sasa yule jamaa alosema walikuwa wanawasiliana na rubani, alikuwa rubani yupi?😂😂😂
angalau nimeichuua hii clip kabla Chalamila hajaifuta! Eti waliuwa wanawasiliana na marubani, shame!
Indeed na lazima ICAO watume team ya uchunguzi ambao watakua independently na team ya inspection ya hapa TZ kutoka TCAASiasa haiwezi kuingilia. Ajali za ndege lazima ziwe na foreign investigators. Lazima engineers kutoka kampuni walotengeneza hii ndege watakuja kuchunguza na in most cases ni kujua kama ni engineer fault au human error. Likely pia American investigators watakuwepo. So hapa hamna kuficha. Walotoa taarifa za uongo kazi kwao. Yote yatafahamika tu
Watajua tuKwa hio haitajulikana nini kilisababisha?
Unaweza kuambiwa ilikuwa haina Black BoxLabda aliambiwa sasa unaweza kutua akahamua atue.
Black Box itatupa taarifa kamili kama SIASA haitaingilia!
Ukiona ajali imetokea jua rubani kajitahidi mno. Ukipigwa na tail wind na ushashuka kiasi huwezi paa tena, hiyo ndo mwishoIla Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Wee mambo yetu kweli tunayo fanya unadhani nyani wana huo ujinga.Duh ! Hiyo ni kali 😅
Yule jamaa aliwahi kusema amewasiliana na mwendazake wakati ameshakata moto...usimchukulie siriazi🐒Sasa yule jamaa alosema walikuwa wanawasiliana na rubani, alikuwa rubani yupi?😂😂😂
Wao flightradar wanasema hizo ADB ni lazima kwa nchi za USA na EU, huku Afrika si lazima ila kwa ndege kama ATR ilitakiwa iwe nayoHapo ina maana gani mkuu ni ukwepaji wa kodi ama
Kama haijulikana ina maana inatua na kuondoka bila malipo au mimi ndio natafsiri vibaya
Nyie wajuzi mnajua zaidi
Hata zisipofungua utaratibu huwa ni kuwa lazima wawalipe fidiaIla Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.