Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Sasa 19 + 26 si 45?Halafu mnasema ndege likuwa na watu 43.Tanzania mimi sihami.
Mbona hakuna la ajabu hapo, katika mazingira kama hayo inawezekana kuna waliokuwa wakiokoa nao wakafariki, inawezekana idadi ya waliotajwa haikujumuisha baadhi ya watendaji kimakosa. Lolote linawezekana.
 
Ila Pilot kakosea sana. Angerudi Mwanza.Ndo maana mkurugenzi wa PA analia .Anajua hizi familia zikifungua kesi watazilipa mamilioni ya fidia.
Emergency landing on water was the safest way to kuokoa Roho za watu kuliko angefanya alternative kumbuka pilot on command anajua Nini Cha kufanya and maybe walikubaliana wakaona kurudi Mwanza itacost all people on board
 
Ila Tanzania suala la uaokoaji nalo ni shida mno. Naimani uokoaji ungekuwa wa haraka asingekufa mtu, labda wale wa kufa kwa shock tu.
Sanaaaa yanii kwenye hili serikali inabidi ibebe lawama 100% miaka 61 ya uhuru ndege inavutwa na mikono??inamana wale jeshi la Maji hawapo? Wangeshindwa saidia? Roho inaniuma as if Nina ndugu yangu mule ndani
 
Labda aliambiwa sasa unaweza kutua akahamua atue.

Black Box itatupa taarifa kamili kama SIASA haitaingilia!
Siasa haiwezi kuingilia. Ajali za ndege lazima ziwe na foreign investigators. Lazima engineers kutoka kampuni walotengeneza hii ndege watakuja kuchunguza na in most cases ni kujua kama ni engineering fault au human error. Likely pia American investigators watakuwepo. So hapa hamna kuficha. Walotoa taarifa za uongo kazi kwao. Yote yatafahamika tu
 
We are following reports of an accident in Tanzania. The aircraft was not equipped with ADS-B so we didn't track it. Looks like the aircraft is an ATR42 from Precision Air with registration 5H-PWF.


Flightradar wanadai ATR ya PW haikufungwa Tracker hivyo ilikuwa haionekani
Hapo ina maana gani mkuu ni ukwepaji wa kodi ama
Kama haijulikana ina maana inatua na kuondoka bila malipo au mimi ndio natafsiri vibaya
Nyie wajuzi mnajua zaidi
 
Sasa yule jamaa alosema walikuwa wanawasiliana na rubani, alikuwa rubani yupi?😂😂😂

Hiyo ndio ilishangaza kweli kweli rubani anazungumza na simu akiwa amezama majini na mawimbi (UHF Frequecy Band) zinajipenyeza kwenye maji mpaka kwenye nearest tower, sayansi ya wapi hii - au haya ni mazoezi ya uhukoaji - hapa wanataka kuzuga watu tu, maanake maelezo takribani yote hayaingii akilini - mkuu wa mkoa anasema ya kwake, zima moto wanasema ya kwao,Polisi wanasema ya kwao, Mganga wa Hospitali nae ana ya kwake - yaani: BYONA BYASHANA EBYO MWANSHONZI!!!
 
Siasa haiwezi kuingilia. Ajali za ndege lazima ziwe na foreign investigators. Lazima engineers kutoka kampuni walotengeneza hii ndege watakuja kuchunguza na in most cases ni kujua kama ni engineer fault au human error. Likely pia American investigators watakuwepo. So hapa hamna kuficha. Walotoa taarifa za uongo kazi kwao. Yote yatafahamika tu
Indeed na lazima ICAO watume team ya uchunguzi ambao watakua independently na team ya inspection ya hapa TZ kutoka TCAA
 
Je Orodha ya abiria waliokuwepo ndani ya ndege hiyo hadi sasa haijaonekana popote.

Tunaomba Orodha hiyo iwekwe hapa Ili kufahamu ndugu zetu waliosafiri kwenda bukoba na hatuna habari.
 
Back
Top Bottom