Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Ukiona ajali imetokea jua rubani kajitahidi mno. Ukipigwa na tail wind na ushashuka kiasi huwezi paa tena, hiyo ndo mwisho
Kasikilize mwananchi digital youtube. Mara ya kwanza alisita kushuka na wakazunguka huko misenyi. Ila wakarudi tena kutua hali ikiwa ileile. Huoni alikosea sana ?Si bora angerudi Mwanza. Alijiamini nini kushindana na nature?
 
Hata zisipofungua utaratibu huwa ni kuwa lazima wawalipe fidia
Huangaliagi ile channel ya dstv inayoonyeshaga investigation za ajali za ndege duniani kote?
Kampuni yenyewe inalipa kidogo .ila mkiwashitaki inabidi muombe kiasi kikubwa na mnegotiate. Unafikiri wakitoa tu wenyewe watatoa nyingi bila kushurutishwa ?
 
Kasikilize mwananchi digital youtube. Mara ya kwanza alisita kushuka na wakazunguka huko misenyi. Ila wakarudi tena kutua hali ikiwa ileile. Huoni alikosea sana ?Si bora angerudi Mwanza. Alijiamini nini kushindana na nature?
Vipi kama hakuwa na mafuta?

Rubani haamui kutua au kuzunguka, anapokea maelekezo ya Tower ya eneo husika
 
Mkurugenzi wa Precision Air ,jiandae kukutana na Wakili msomi Kibatala kisutu.
Kwani wakazi wa BUkoba ni wasomi watadai mabilioni ya Bima.
 
Mkurugenzi wa Precision Air ,jiandae kukutana na Wakili msomi Kibatala kisutu.
Kwani wakazi wa BUkoba ni wasomi watadai mabilioni ya Bima.
Kwani waliofariki ni wa Bukoba (Kagera)?

Umekuwa mtabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…