Huwezi paa bila ruhusa yao maana wao ndo hutoa maelekezo.At the end of the day PILOT ON COMMAND ndo ana last say...tower anampa tu ushauri
Tunaangaika na Tochi za Barabarani tunasahau vifaa muhimu vya uokozi kwenye majanga mengine kama ya ndege.Nchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu
Sio kwa Tanzania inayoongozwa na CCM , kitu hicho ni ndoto za mchanaViwanja vilivyo karibu na milima na maziwa km Mwanza, Bukoba, Songwe, kigoma vinahitaji miundo mbinu maalum na ya kipekee ya kuokoa ya zimamoto na hata marefu ya uwanja yaongezwe mno. Hili liwe funzo.
mkuu naelewa ila standard za usalama za ccm sio zile za nchi nyingineHakuna ndege inayoruhusiwa kuondoka bila kua na mafuta mara mbili ya kiwango Cha mda unatumia kufika kwenye destination...hivyo basi mafuta ya kutosha kwenda kwenye alternative kiwanja lazima yawepo
Ni SIASA imetufikisha hapa!Tanzania inakuwaje taarifa za ajali kusababishwa zinatolewa kabla ya kupata black box
Huu ujinga ukifanya kwenye nchi za watu inakucostAlikuwa anaweka matumaini kwa ndugu za waliokuwa kwenye ndege, hakuwa na jinsi lazima SIASA itumike.
Aliongea kama mwanasiasa.Huu ujinga ukifanya kwenye nchi za watu inakucost
acha bhana! wale wajamaa wanapigaga mazoezi ya anga na ma helkoputa wameishia wapi? maana Leo ilikuwa siku yao ujue kuonesha umahiriNchi imepigwa nusu kaputi. Vikosi vya uokoaji vimefika eneo la tukio vikiwa mikono mitupu
HahahahaAanh
Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries
Miaka 5 nyuma nakumbuka natoka Dar naenda Mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya Iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano
Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Bro, am in this industry...utatoa clearance yes ila mwenye final decision ni pilot on command coz yeye ndo anaijua ndege yake kuliko tower unaeiona kupitia screen sijui kama unanielewa...pilot akikaidi basi yeye ndo anabeba mzigo wote na wao wanajuaHuwezi paa bila ruhusa yao maana wao ndo hutoa maelekezo.
Na ukiomba go around wao watakuruhusu na ndege zingine zitazuiwa
Aviation Haina ccm kaka, procedure and rules are common and the same all over the worldmkuu naelewa ila standard za usalama za ccm sio zile za nchi nyingine
Ndio chama chako hicho.Tuna viongozi wazembe sana lakini bado wanaendelea kungangania nafasi zao tu.
Hakuna mtu anawajibika kwa lolote.
Bukoba Airport haina Tower na hakuna waongoza ndegeBro, am in this industry...utatoa clearance yes ila mwenye final decision ni pilot on command coz yeye ndo anaijua ndege yake kuliko tower unaeiona kupitia screen sijui kama unanielewa...pilot akikaidi basi yeye ndo anabeba mzigo wote na wao wanajua
19 wamekufawatu wamekufa wangapi,
poleni wafiwa, ajali haina kinga.
ajali hakuna aliye tarajia, Mungu azioumzishe roho za mrehemu.