Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Viwanja vilivyo karibu na milima na maziwa km Mwanza, Bukoba, Songwe, kigoma vinahitaji miundo mbinu maalum na ya kipekee ya kuokoa ya zimamoto na hata marefu ya uwanja yaongezwe mno. Hili liwe funzo.
Sio kwa Tanzania inayoongozwa na CCM , kitu hicho ni ndoto za mchana
 
Hakuna ndege inayoruhusiwa kuondoka bila kua na mafuta mara mbili ya kiwango Cha mda unatumia kufika kwenye destination...hivyo basi mafuta ya kutosha kwenda kwenye alternative kiwanja lazima yawepo
mkuu naelewa ila standard za usalama za ccm sio zile za nchi nyingine
 
Tanzania inakuwaje taarifa za ajali kusababishwa zinatolewa kabla ya kupata black box
 

Attachments

  • 7DA6EA3C-4404-4E27-88EF-D40407950C8A.jpeg
    7DA6EA3C-4404-4E27-88EF-D40407950C8A.jpeg
    42.9 KB · Views: 4
Aanh

Ni hatari sana kupanda usafiri wa meli na ndege kwa hizi nchi zinazoitwa 3rd countries

Miaka 5 nyuma nakumbuka natoka Dar naenda Mbeya na hizi ndege za mtumba alizotuletea anko magu
Maeneo ya Iringa pale kitonga, ndege linayumba kwa sababu ya kani ya mvutano

Nilisali salamu maria mara 1, baba yetu mara 2
Na nikapiga Alu akbar kama 5 hivi
Hahahaha
 
Huwezi paa bila ruhusa yao maana wao ndo hutoa maelekezo.
Na ukiomba go around wao watakuruhusu na ndege zingine zitazuiwa
Bro, am in this industry...utatoa clearance yes ila mwenye final decision ni pilot on command coz yeye ndo anaijua ndege yake kuliko tower unaeiona kupitia screen sijui kama unanielewa...pilot akikaidi basi yeye ndo anabeba mzigo wote na wao wanajua
 
Kuna msanii aliwahi kuimba usipokuwa makin bongo unaweza kuzikwa ukiwa hai
Bado tunayosafari ndefu kufika nchi ya ahadi
Ee Mwenyezi Mungu uzipumzishe mahala pema roho za marehemu na uwaponye majeruhi wote wa ajali pia uwape moyo wa ustahimilivu ndugu wote wa wahanga wa ajali hiyo bali kila aliyefanya uzembe kwa namna yoyote umwajibishe....Amina
 
Bro, am in this industry...utatoa clearance yes ila mwenye final decision ni pilot on command coz yeye ndo anaijua ndege yake kuliko tower unaeiona kupitia screen sijui kama unanielewa...pilot akikaidi basi yeye ndo anabeba mzigo wote na wao wanajua
Bukoba Airport haina Tower na hakuna waongoza ndege
 
Back
Top Bottom