Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia

Idadi ya walio jiokoa wenyewe 26 ,waliofariki 19 jumla ni 45 . Mkurugenzi wa precision air anasema ilikuwa na abiria 43, Ndege ilikuwa imebaba abiria wangapi?

Au walizidisha abiria ? Au kuna waokoaji wamefariki?

Je precision air huwa hawatoi boarding pass kwa abiria wao?
 
Jana tu nimsikiliza waziri wa uchukuzi mh mbarawa professor akieleza juu ya mgogoro wa uwanja wa ndege wa kilimanjaro airport juu ya umiliki wake Kati ya KADCO na TIAA ulikuwa Ni hoja nzito Sana hyo katk bunge la Jana

Sas Leo hatujaka sawa ndege imedondoka Tena ziwani .HV wazungu watatuchukuliaje kwa hili Jambo na hz zetu zinazokuja na zilizopo zijui zitapandwa na Nani
 
Wee sie wabongo tunajibu letu pendwa kwenye mambo yote..."mipango ya mungu"
Hilo neno huwa linanishangaza sana yaani hata kama ni uzembe wa mtu fulani kwenye ajali yeyote ile utasikia watu wanahitimisha na hilo neno “mipango ya Mungu “ !! Ni neno la kukwepa kuwajibika na tatizo !! Hayo yanaitwa majibu mepesi. !
 
ilishindikana kupasua tundu hapo juu sehemu ambayo haiwezi kuingiza maji?

yaani mijitu mizima imekaa mitumbo inahemea juuujuuu, watu wa Bukoba jitafakarini.....mmeonyesha uzembe wa hali ya juuu
Nawaza wameshindwa hata kutafuta malori kadhaa wakaifunga minyororo wakaivutia pwani hiyo asubuhi mpaka wavute na mitumbwi?
 
Sie ni wajinga tuu. Even comparing us to monkeys is actually an insult to monkeys 🤣🤣🤣🤣
Monkeys will never utter such stupidity!
Hilo neno huwa linanishangaza sana yaani hata kama ni uzembe wa mtu fulani kwenye ajali yeyote ile utasikia watu wanahitimisha na hilo neno “mipango ya Mungu “ !! Ni neno la kukwepa kuwajibika na tatizo !! Hayo yanaitwa majibu mepesi. !
 
Sasa RC alisema kuwa walikuwa wanawasiliana na rubani. Pia na kuna watu wengine ndani walikuwa na mawasiliano nao. Very questionable statement
Ujue wengi waliokufa ni waliokuwa mwanzoni mwa ndege. Wa huku mwishoni wamepona sababu ilikuwa rahisi kutokea huko kuna mlango. Wengine ile kufungua mkanda uje ufike mlangoni ushakufa
 
Back
Top Bottom