Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana pia .... Wagogo sometime wakiwa wanaongea kwa mbali utafikiri ni Kisukuma!!
Hili neno kwa wamakonde wa pwani ni kujigawia tu mwenyewe.Prof Kabudi amesema ni neno la kigogo!
Mmepewa kamati mbili PAC na LAAC, msituangushe!
Mkuu sio CCM tu,hata vyama vingine hawajui matumizi ya madini yanafanya kazi gani.Kama ilivyokuwa habari mbaya kwa wafuasi wa cdm kwa kusainiwa kwa mkataba wa gas enzi za JK. Mbona hatuoni wanaccm wakichangia kwa wingi kwenye hizi habari nzuri za ccm, au wanaccm wote ni wazee hivyo hawajui kutumia mitandao?
kuhomola ni tusi wengine wanasema kuhondomola, ukisema tumechoka kuhondomolwa maana yake tumechoka kunaniliwa....sio adi nitukane tushaelewa.....".Mh. JPM rais wa Tanzania amekomesha kuhomolwa kwa madini Tanzania....." by Prof. P. Kabudi
kuhomola = (neno jipya la kiswahili Tanzania) lenye maana ya kukwapua kiujanja ujanja mali ya mtu huku mwenye mali akishangaa tu!
Mabeberu ni Amsterdam na Wapambe wa Lissu. Siyo kila mweupe