Bulaya ampa za Uso Msigwa

Bulaya ampa za Uso Msigwa

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
mjumbe wa mkutano mkuu wa Chadema bulaya yuko sahihi au amekosea?🤣
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Bulaya anezungumza ukweli ndivyo siasa zinavyopaswa kuwa.

Mtu anapohama chama ahame kwa amani na aende chama kipya kwa amani. Pia kule alikotoka wasimkashifu.
 
kwahiyo anyang'anywe na azuiwe kabisaaaa haki na uhuru wake wa kutoa maoni na mtazamo juu ya mambo yaliyomfanya atoke na kujiunga kwingineko, right ?🤣
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Msigwa hakuwa mpinzani, ni mganga njaa tu.
 
Attachments

  • Ins_2070460200.mp4
    2 MB
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
1719911898816.jpg

Na kweli chama kilimlea.
 
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.

Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.

View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/

Kuna wakati saa mbovu husema ukweli
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Duuh.... Kweli wabongo asili yetu ni unafiki. Maendeleo na uwajibikaji tutavisikia kuzimu.
Kwa hiyo kiongozi akikulea hata akianza kwenda tofauti na malengo ya chama ukae kimya na kumfuata tu kama likondoo?
Mimi km mimi gia ya angani ilitosha kukihama chama na kutokumuamini Mbowe Abadan.
 
Back
Top Bottom