Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
She said it all