Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unajua kuna yule x anakuacha ila bado una hasira nae, ili uonekane ww ndio umemuacha unamsagia kunguniMsigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.