Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
mjumbe wa mkutano mkuu wa Chadema bulaya yuko sahihi au amekosea?🤣Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Wanasiasa wote wanafiki tumjumbe wa mkutano mkuu wa Chadema bulaya yuko sahihi au amekosea?🤣
basi sawa,Wanasiasa wote wanafiki tu
Ova
kwahiyo anyang'anywe na azuiwe kabisaaaa haki na uhuru wake wa kutoa maoni na mtazamo juu ya mambo yaliyomfanya atoke na kujiunga kwingineko, right ?🤣Bulaya anezungumza ukweli ndivyo siasa zinavyopaswa kuwa.
Mtu anapohama chama ahame kwa amani na aende chama kipya kwa amani. Pia kule alikotoka wasimkashifu.
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Subiri apate uteuzi alafu tutafunga hesabu.Msigwa akikaa kwa utulivu, akaacha akili yake ifanye kazi! Atakuja kugundua kuwa, hakuwa na sababu ypyote ya yeye kuhama chama
Hapo ndo atajikuta akijiona bonge la mjinga
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Wote hao wanafki tu naobasi sawa,
wacha tusubiri viongozi wa dini watatoa maoni gani , tuskie nao mtawaita majina gani ikiwa wanasias ni wanafiki 🐒
Duuh.... Kweli wabongo asili yetu ni unafiki. Maendeleo na uwajibikaji tutavisikia kuzimu.Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.