Bulaya ampa za Uso Msigwa

She said it all
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Hakua yeye, alikua anapewa desa la kusoma. Njaa mbaya sana
 
Msigwa akikaa kwa utulivu, akaacha akili yake ifanye kazi! Atakuja kugundua kuwa, hakuwa na sababu ypyote ya yeye kuhama chama

Hapo ndo atajikuta akijiona bonge la mjinga
tayari saa hizi anajilaumu na mbaya zaidi chama kimakaa kimya na kumpuuzia
 
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.

Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Shida ni kwamba Msigwa kaacha kutumia akili kuwaza badala yake kwa sasa anatumia tumbo kuwaza.
 
Watu dizaini ya Bulaya ndio makada wa CCM ninaosema kila siku wanatumika kuchagiza kiinimacho kuwa Tanzania ina upinzani. Deep inside hakuna upinzani ila kivuli cha upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…