Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Unajua kuna yule x anakuacha ila bado una hasira nae, ili uonekane ww ndio umemuacha unamsagia kunguniMsigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Hebu soma ulichoandikaWakumlaumu ni mbowe alie kuwa na nafasi kubwa yakuunda upunzani ulio na nguvu 2025 achukue viti vingi vya wabunge ili aongoze bunge yeye ameuwa cdm kwa Mikono yake mwenyewe, tangu alambe ile asali ilikimaliza cdm jumla.
Hapa ndiyo ametoka kwenye uhouseboy kwa mzunguView attachment 3034043
Na kweli chama kilimlea.
Msigwa naye hakuwa na sababu ya kukisema chama ambacho kimemlea na kumtunza kwa miaka chungu nzima. Hata kama CHADEMA ina mapungufu, lakini bado alitakiwa kujizuia kuingelea vibaya.
Aache kunyea kambi. Maana kuna leo na kesho. Shauri zake.
Bulaya kaongea kwa utulivu Sana kuwa Msigwa Kahama kwa sababu ya hasira na alichokifanya ni utoto.
Kwamba madai ya Msigwa kuwa CHADEMA ni SACOSS ni ya kitoto na kipumbavu maana amepewa ubunge, alikua Mwenyekiti wa Kanda na posho kibao.
Amesema Hana tatizo na Msigwa Kahama ila ana shida na namna alivyohama. Ana akili, ameweka maneno ya akiba.
View: https://vm.tiktok.com/ZMrBuKK8T/
Upo sahihi ndugu..Msigwa kuisema vibaya Cdm baada ya kuhama sio tatizo.
..tatizo Ccm sio jukwaa sahihi kwa Msigwa kuisema vibaya Cdm.
..jukwaa sahihi kwa Msigwa lilipaswa kuwa chama kingine cha upinzani.