Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Serikali haitakiwi kuchukua hata senti. Kenya walipiga vita hilo suala na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupitia shirikisho lao la wafanyakazi. Sisi TUCTA yetu ina wana-ccm tu na vibaraka kibao washenzi tuAidha, ameitaka Serikali kuacha kuchukua mikopo kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwasababu fedha hizo sio za Serikali bali wao ni watunzaji tu.
TUCTA ni tawi la CCM pureSerikali haitakiwi kuchukua hata senti. Kenya walipiga vita hilo suala na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupitia shirikisho lao la wafanyakazi. Sisi TUCTA yetu ina wana-ccm tu na vibaraka kibao washenzi tu
Namuunga mkono huyo mbunge namwona ndiye mtetezi maana tangue enzi za hayati utetezi wake kwa michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya jamii haiwanufaishi.Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole...
Wameanza unafiki wao mkuu[emoji23][emoji23]Wameshindwa kujadili kwenye vikao vyao na CCM mpaka waje kututangazia huku na wakati ni chama kimoja jamani
Hoja yako ni nin?Namuunga mkono huyo mbunge namwona ndiye mtetezi maana tangue enzi za hayati utetezi wake kwa michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya jamii haiwanufaishi...
KweliWameanza unafiki wao mkuu[emoji23][emoji23]
Na wanao umiza watumishi ni wanasiasa ambao wamewahi kuwa watumishi wa umma. Wakiingia ktk siasa wanageuka wachawi.Serikali haitakiwi kuchukua hata senti. Kenya walipiga vita hilo suala na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupitia shirikisho lao la wafanyakazi. Sisi TUCTA yetu ina wana-ccm tu na vibaraka kibao washenzi tu
Aisee! Dhulma tupu. Mzee alikosa utu