Bulaya: Kikokotoo kipya cha Mafao ni kibovu na kinawapangia Wastaafu matumizi ya fedha zao

Yaani watu hatujapata kazi toka 2017 Nina miaka 39 nisubiri 55 kweli? Jamani raising wetu hayati mtetezi Wa wanyonge aliwezaje kisaini na kukibali sheria kandamizi kama hii? Nimemsamehe bure Mimi mnyonge apumnzike kwa amani

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Kivuli cha umaskin kinavyotuandama waajiriwa...2023 ifike niache na kaz yenyew...dah...hata kusoma uzi inataka moyo
 
Hivi ukipewa 25% na hiyo 75 % unapewa kidogo kidogo ukifa kama kuna iliyobaki wanapewa ndugu au?
 
Wenzetu Kenya walishakataza hili kutokana na kuwa na chama cha wafanayakzi chenye nguvu.
Tatizo la Tz TUCTA ni chama cha wachumia tumbo wanakusanya ada za wanachama kwa nguvu bila kuwa na msaada wowote.
Kwanini tupangiwe matumizi ya fedha zao? kwanini wao wabunge, mawaziri nk za kwao wanapewa zote za kwa wakati? this is shame!
 
kweli kabisa
 
Bora hao ambao watapewa japo kidogo kidogo,itakuaje kwa sisi wa mikataba kusubiriria mil.3 baada ya kitimiza umri wa kustaafu na kuanza kulipwa kwa utaratibu tajwa?

Huu ni upuuzi waturejeshee fao letu la kujitoa

Hilo li pm nalo halielewi kwamba mambo yamebadilika limekalia vilevile tuu
 
Basi hiyo sheria itapitisbwa watu wazulumiwe lakini ukija uchaguzi wabongo wanawapa kula ao ao wakandamizaji ukiuliza kwa nini wanafanya ivo CCM
Wabongo gani bali mburura walioko kitaa wasomi na wafanyabiashara wakubwa hawana ujinga huo
 
Halima Mdee ahoji Deni la Trillion 10 kwenye mifuko ya mafao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…