Bulaya: Sheria zenye ukakasi zinaminya Uhuru wa Habari

Bulaya: Sheria zenye ukakasi zinaminya Uhuru wa Habari

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo.

Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii ikiletwa kutakuwa na Mijadala ya kukosoa na kujenga Taifa letu. Wachambuzi wawe huru kwa Maslahi mapana ya Nchi"
 
Back
Top Bottom