Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Zitto ni presidential candidate wa ACT wazalendo. Lengo lake ni kukuza ruzuku ili ACT wapate mrija wa ruzuku. Maalim Seif anagombea Zanzibar kivyovyote watapata ruzuku.
Hata CCM ruzuku ndio inawapa jeuri, halafu hilo swala lipo Kikatiba sio matakwa binafsi.
 

Abeeee...........!!!!!!!
 
Kuna watu wanaji-brand wenyewe majimboni, na majimbo mengine chama ndo kipo branded... sasa kwa Zitto, yeye ndo amejibrand jimboni... Bulembo ana kazi kubwa kama kweli nia hiyo anayo
 
Kuna watu wanaji-brand wenyewe majimboni, na majimbo mengine chama ndo kipo branded... sasa kwa Zitto, yeye ndo amejibrand jimboni... Bulembo ana kazi kubwa kama kweli nia hiyo anayo
Kiukweli huyu jamaa ni anajimwambafy tuu kufuatia ZZK kumuumiza sana kichwa Mzee, hivyo sasa ni mashindano ya Kujipendekeza kwa kujimwambafy kuwa anamuweza ZZK ili aendelee kuteuliwa!, kiukweli kabisa this is among the totally empty shells kule mjengoni!.

Zitto Kabwe asipogombea kama mgombea wa pamoja wa upinzani, endapo Tundu Lissu hatarejea, then Zitto ndio mgombea pekee wa upinzani kwa huku bara mwenye guarantee ya kurejea Bungeni na sababu ni moja tuu...
Naomba nisiitaje!.
P
 
Hkn sababu zaidi ya kuwa ni mtumishi wa St Peter namjua ZZK kupitia Rafiki yetu mmoja ambae nmekutumia Audio yke wiki Mbili tatu nyuma...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sababu ni mlo vichakani
 
Hkn sababu zaidi ya kuwa ni mtumishi wa St Peter namjua ZZK kupitia Rafiki yetu moja ambae nmekutumia Audio yke Mbili tatu nyuma...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Tukianza na vetting nani wa St. Peter's and who is not, we'll end up with nobody! because It's very hard to tell who is who, who is in?, who is not, to me nawaona as if most have been compromised including usiowadhania kabisa.
P
 
Tukianza na vetting nani wa St. Peter's and who is not, we'll end up with nobody!. It's hard to tell who is who because most have been compromised including usiowadhania!.
P
Upo sahihi tatizo langu kwa ZZK ni kujifanya mkombozi wakt nyuma ya pazia ni msaliti km wale wengine wa mtaa wa Ufipa...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…