Bulletin: All members please read:

Bulletin: All members please read:

uuh! katika watu tunaopata shida kupost hapa basi ni mie.....siwezi kupost kwa njia ya kawaida.....lazima nikipost nitoke the niingie la sivyo napata page ya bonge la tangazo la jf sipelekwi kwenye post niliyoipost.......kwa kuwa nimeshazoea mikikimikiki ya ki cyber nikaona si tatizo kwangu.....

........but jana nikaona tofauti...nikasema hii thread ya mengi lazima itoe mtu kafara let me step aside.....kurudi nakuta ai jukwaa la siasa lila watu 57!....nikasema something happened...nikajua kuna ki2 si kawaida...nikatoka ili kujihami....

hako kajamaa natamani nikageuze makalio yake nikachape vioko hamsa ishirini....Invisible tuambie attack imetokea pande ipi ya globe.....JF haifi
 
I experienced similar problems yesterday afternoon and thought there could be a maintenance issue in JF server.

If there are people trying to suppress JF in any way, s/he is an enemy of our society, and we shall fight him/her/them endlessly. We shall never falter nor slow our efforts for a better Tanzania. Here is where we dare to speak openly and endlessly.

They shall always fail. Their failure will always grow as the days pass by. They failed their own country, they failed their own people and now they want to fail JF.

SHAME ON THEM.
 
Bravo JF administration,
Nasema hivi wale wote wanaoiona JF ni kitanzi kwao wafe na wafe tena fiiii. Jana nami nilipata shida sana, it was slow na wakati mwingine inapotea ghafla tu. Ongezeni security nyingi, tuko pamoja. Sijapata tu muda wa kwenda kuwatumia tusenti twa kusonga mbele. I love JF than anything??? Wameshindwa namna ya kutukamata sasa wanataka kuua forum. Watakufa kwa heart attack kabla ya kuua mtandao wetu. Na nyie vibaraka pelekeni tu ila haitawasaidia kitu, mnapoteza muda. Ni waulize vibaraka, hamna huruma na matukio ya ufisadi na jinsi wanajamii wa Tz wanateseka?. Wewe umebebwa na fisadi kwa kuwa anakufanya wewe ni bag lake?? Kwa kuwa fisadi ameweza kukununulia nyumba au gari na mapesa kibao eti ni zawadi kwa kazi nzuri unayomsaidia kupitishia mipango ya kifisadi????? Kuna mwingine alinunuliwa nyumba na kukarabatiwa, yuko Brela kwa kuwa aliweza kuzamisha mafaili ya makampuni ya mafisadi. Vibaraka tumeshawachoka jamani. Ila tu kibaraka utamjua kwa comments zake hapa jamvini, ukiachia wale wa usalama wa taifa ambao wanakuwa positive na issue /thread ili kutaka kupata undani zaidi.

Again, mods keep it up for your excellent dedication to the Forum.
 
Nilikuwa nadhani kompyuta yangu ndio ina matatizo, kumbe ilikuwa mipango ya septemba 11!!!!
 
God gives and god takes,so no human will take our baby jf from us.this is the best forum i have ever seen,and i will pray that it remais the best.we shall fight for our country by this weapon of using words and not bombs,and i am sure we will make it.inshalah.may god bless all of us in this war against those mafisadis.
 
Wana JF,
Naomba katika hili tuwe waangalifu sana. Inaweza kuwa wala si Mtanzania aliyefanya huu upuuzi. Pia anaweza kuwa Mtanzania ndiyo kwa lengo la hebu ngoja nitest uwezo wao wa kujihami hawa Watanzania. Nakumbuka mnakumbuka matukio kadhaa ambayo watoto wadogo kabisa under 20 walifanya kufuru USA/Duniani bila hata kudai senti tano. Wao ilikuwa inawafurahisha tu kwamba asubuhi wanasikia watu wamelizwa.
Siku moja walionyesha jamaa MAGURU wa internet/computer. Wakali hawa mara nyingi wako kwenye mitandao ya kampuni zinazouza film za ngono, Casino, madawa, silaha etc. Jamaa hao kweli wakali. Walionyesha jinsi wanavyoweza kuvamia server na kuizima. Hawa nao wajinga sana kwani anafanya hivyo kwa FUN.

Nafikiri jinsi JF inavyozidi kuwa KALI, ndivyo pia inaanza kujipatia WAPINZANI wengi. Wengine watakuwa Mafisadi, wengine ni wanaosema "ngoja niwatarai", wengine ni wale wenye forum zao ila kwa sasa zinakufa maana kumbakumba JF anabeba wote na mwisho ni wale wahuni niliosema wanaokaa kwenye mtandao na wakiwa bored wanatafuta wapi wachemshe ubongo kwa kuvunja system zao. Hawa unaweza kukuta hata hawajui JF ni nini ila basi tu ameangalia wapi kuna traffic kubwa na wakaiona JF. Itabidi wakali wote wa IT waungane katika hili ili NGOME ya JF iwe haiingiliki.
Hili la position nne at a time safi sana na hongera. Hata Minziro haliwezi kwani yeye aliishia "Kutura" 2 position at a time. Saafi sana. Wakijua watakata tamaa.
 
There had been several attempts of interrupting the normal workings of this forum. These attacks have caused several problems to our members among them denial of service, slow webpage loading, and difficulties in posting new threads.

After careful review, we have noticed that the attacks were carried out with such precision and meticulosity to make us believe that these were well planned, organized and executed. They were not accidents or simple virus attacks.

As we approach the one year anniversary of those "events" of February last year we are expecting such attacks to increase in size and impact.

We are glad however, that the security and IT intelligence team of JF under Invisible which is on guard 24/7 was able to promptly and expertly fend off all the attacks, took preventive measures and are now preparing a definitive and massive retaliation that only JF team can carry out to be a lesson to all known perpetrators at a time, means, and manner of our own choosing.

We assure our members to continue to enjoy and use your forum without any worry and in case of anything that they suspect as not normal please PM me or any of the MoDs with a copy to Invisible and Farida. We stand united to guarantee that JF will continue to stand as a symbol and sign of a free and democratic society.

For Administration

Mkuu hii (in Orange) imetulia. Ni vema kutengeneza hiyo mechanism ili bomu la virusi liwaripukie wenyewe kabla hata halitua JF. Na hatutashangaa siku tukiwasikia watu wa Ofisi nyeti ya nchi wanalia!
 
Long live JF! You will never walk alone!
 
Thanks Silencer, clearly stated.

We've increased our services security. Thanks to the person (who do not wish to be mentioned) who rang Maxence and highlighted this. This' a second attack and we've learnt from it. JF will be connecting from 4 different locations.

Thanks

Asante sana wakuu wote......!

Inv. nafikiri hata matatizo niliyopata re. Motokeo ya f 4 inaweza kuwa ilisababishwa na huu upuuzi cause leo nimeweza kufungua vizuri kabisa na kumtumia Headmaster huko bush.......!

Thanks again for your efforts...tuko pamoja!
 
Mh, si mchezo... Alternative nr 4 have failed.

Poleni kwa kutoweka kwetu hewani kwa muda, we're back.

OMBI:

Linapotokea tatizo tunaomba wasiliana nasi kwa haraka iwezekanavyo ili tuweze kurekebisha ndani ya muda. Tu-sms ama pigeni simu via +255713444649

Tatizo lolote haliwezi kuchukua zaidi ya dakika 20 kabla ya kuwa resolved, kuchelewa kutufahamisha inakuwa ni kuchelewa kwa utendaji wa haraka. Hata hivyo tunajiweka sawa na kuanzia March tutakuwa katika hatua kubwa kuliko sasa.

Poleni wakuu

NB:
Nimeombwa na baadhi ya wadau niwape IP zinazofanya hivi ili nao waweze kukabiliana na hawa wanaofanya hii kitu. Kwa walio interested naomba wawasiliane nami via invisible at jamiiforums.com nitawapa IP zote ambazo zinahitajika kuwa blocked haraka iwezekanavyo katika server wall.

Kilichotokea ni hiki hapa
 
Mh, si mchezo... Alternative nr 4 have failed.

Poleni kwa kutoweka kwetu hewani kwa muda, we're back.

OMBI:

Linapotokea tatizo tunaomba wasiliana nasi kwa haraka iwezekanavyo ili tuweze kurekebisha ndani ya muda. Tu-sms ama pigeni simu via +255713444649

Tatizo lolote haliwezi kuchukua zaidi ya dakika 20 kabla ya kuwa resolved, kuchelewa kutufahamisha inakuwa ni kuchelewa kwa utendaji wa haraka. Hata hivyo tunajiweka sawa na kuanzia March tutakuwa katika hatua kubwa kuliko sasa.

Poleni wakuu

Akhasante kwa taarifa.
 
How can I help in this manner, as I am slightly tech-savvy?

./mwanahaki
 
Wana JF,
Naomba katika hili tuwe waangalifu sana. Inaweza kuwa wala si Mtanzania aliyefanya huu upuuzi. Pia anaweza kuwa Mtanzania ndiyo kwa lengo la hebu ngoja nitest uwezo wao wa kujihami hawa Watanzania. Nakumbuka mnakumbuka matukio kadhaa ambayo watoto wadogo kabisa under 20 walifanya kufuru USA/Duniani bila hata kudai senti tano. Wao ilikuwa inawafurahisha tu kwamba asubuhi wanasikia watu wamelizwa.
Siku moja walionyesha jamaa MAGURU wa internet/computer. Wakali hawa mara nyingi wako kwenye mitandao ya kampuni zinazouza film za ngono, Casino, madawa, silaha etc. Jamaa hao kweli wakali. Walionyesha jinsi wanavyoweza kuvamia server na kuizima. Hawa nao wajinga sana kwani anafanya hivyo kwa FUN.

Nafikiri jinsi JF inavyozidi kuwa KALI, ndivyo pia inaanza kujipatia WAPINZANI wengi. Wengine watakuwa Mafisadi, wengine ni wanaosema "ngoja niwatarai", wengine ni wale wenye forum zao ila kwa sasa zinakufa maana kumbakumba JF anabeba wote na mwisho ni wale wahuni niliosema wanaokaa kwenye mtandao na wakiwa bored wanatafuta wapi wachemshe ubongo kwa kuvunja system zao. Hawa unaweza kukuta hata hawajui JF ni nini ila basi tu ameangalia wapi kuna traffic kubwa na wakaiona JF. Itabidi wakali wote wa IT waungane katika hili ili NGOME ya JF iwe haiingiliki.
Hili la position nne at a time safi sana na hongera. Hata Minziro haliwezi kwani yeye aliishia "Kutura" 2 position at a time. Saafi sana. Wakijua watakata tamaa.

Maoni yako mazuri sana mkuu... mimi mwenyewe hapa nahisi hizi attack wala hazihusiani na siasa za bongo ila uhuni wa 'ngoja tuwajaribu' ndiyo uliotumika.... Hivi karibuni Invisible aliandika pahala kuwa kuna hits 18million, na kwamba hiyo ilikuwa record, sikujua hiyo jump ilitokana na nini na ilikuwa ni ya margin gani kutoka kwenye normal operation conditions... Je, yawezekana hili tatizo limeanza kujitokeza kipindi kirefu zaidi ya tunavyofikiria? Je, wafanyayo haya ni wabongo? Kama wanamtandao wa Kitanzania wapenda mema ya nchi yetu, tushirikiane vipi ku fend off attacks kama hizi?

Nashukuru jitihada kubwa za kuturudisha hewani zinazofanywa na wakina Invisibles na team yake yote.

SteveD.
 
Maoni yako mazuri sana mkuu... mimi mwenyewe hapa nahisi hizi attack wala hazihusiani na siasa za bongo ila uhuni wa 'ngoja tuwajaribu' ndiyo uliotumika.... Hivi karibuni Invisible aliandika pahala kuwa kuna hits 18million, na kwamba hiyo ilikuwa record, sikujua hiyo jump ilitokana na nini na ilikuwa ni ya margin gani kutoka kwenye normal operation conditions... Je, yawezekana hili tatizo limeanza kujitokeza kipindi kirefu zaidi ya tunavyofikiria? Je, wafanyayo haya ni wabongo? Kama wanamtandao wa Kitanzania wapenda mema ya nchi yetu, tushirikiane vipi kuwa fend off attacks kama hizi?

Nashukuru jitihada kubwa za kuturudisha hewani zinazofanywa na wakina Invisibles na team yake yote.

SteveD.

Mimi nilifikiri ni ka laptop kangu ndo kana kwikwi. washindwe na walegee hao mafisadi. Thanx and kudos to JF Team na wadau wote.
 
Thanks Silencer, clearly stated.

We've increased our services security. Thanks to the person (who do not wish to be mentioned) who rang Maxence and highlighted this. This' a second attack and we've learnt from it. JF will be connecting from 4 different locations.

Thanks

...kwakweli leo nataabika sana kuunganisha 'mawasiliano' na wanajamii hapa, too slow!!! na saa nyingine hamna connection kabisa

...naishia kuperuzi na kudadisi blogs nyingine tu huko vichochoroni...🙁 inauma kweli.

my last post kwa leo, nawatakia kila la kheri Invisible na jeshi lako, jitahidini kuwa hivyo hivyo hatua moja mbele ya MAFISADI hawa...!
 
Unajua nilikuwa najiuliza labda kuna update inafanyika, ila mbona huwa kuna msg inatoka kama kuna kitu kama hicho kinafanyika?, maana nilikuwa nasikiliza Zilipendwa nikasikia kimyaa, kujaribu ku refresh ngoma ikawa inakuja ERROR web not available.

Asante sana Invisible kutujulisha na keep on kuwamaliza mafisadi hawa wanaotaka kuziba sauti za watu.
 
Back
Top Bottom