Bullying anayofanyiwa mchazaji Ibrahim Doumbia wa Makolo sio uungwana

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni kucheza hakua na budi isipokua kutia Saini pale mahitaji yake yalipotimilizwa.

Sasa yeye kosa lake ni lipi kiasi cha kudhihakiwa kiasi hiki?, hasa dhihaka zinazolenga kutweza mpaka ubinadamu wake. Hii sio sawa , wakulaumiwa ni viongozi wenu kwa kutosajili mchezaji wa hadhi ya timu yenu.

Huyu ni mtu mwenye familia na shujaa mwenye watu nyuma yake wanaomtazama kwa macho ya matumaini..!

ACHENI MARA MOJA!!!!
 
Mashabiki wengi wa simba wana nongwa. Mchezaji akikosea mara moja tu tayari wanamhukumu. Ukija kwenye uongozi nako, timu isifungwe au kutoa sare! Lawama zote anabebeshwa mwenyekiti Mangungu.
 
Wachezaji sio marobiti, ni binadamu kama sisi..Ibrahim Doumbia Hakujileta yeye mwenyewe hapo makolo fc bali ni viongozi wenu ndio waliomfuata na kumsajili..Na kwa kua mchezaji ajira yake ni kucheza hakua na budi isipokua kutia Saini pale mahitaji yake yalipotimilizwa.

Sasa yeye kosa lake ni lipi kiasi cha kudhihakiwa kiasi hiki?, hasa dhihaka zinazolenga kutweza mpaka ubinadamu wake. Hii sio sawa , wakulaumiwa ni viongozi wenu kwa kutosajili mchezaji wa hadhi ya timu yenu.

Huyu ni mtu mwenye familia na shujaa mwenye watu nyuma yake wanaomtazama kwa macho ya matumaini..!

ACHENI MARA MOJA!!!!
Nakubaliana na wewe.!
 
Back
Top Bottom