Bumbuli alitaka Kutuongopea Watanzania ila Shukran kwa Manara Kukiri na Kuonyesha Professionalism na kuwa amekomaa kwa Kazi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alitaka Kutudanganya na Kutuficha kuwa Yanga SC hawako katika Mzozo wa Kimkataba na Wakala wa Hoteli huko nchini Uturuki ambako Klabu ya Yanga ilikuwa waende kwa ajili ya Pre Season yao.

Wakati 'Hopeless' Bumbuli akijitahidi kutaka kuleta Uswahili wake juu ya Sakata hili Mwamba wa Usemaji, Mweledi na Muungwana Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara aliingilia na kumuomba Bumbuli atulie ndipo Yeye ( Manara ) bila Unafiki, Siasa, Upuuzi na Uswahili akakiri juu ya Sakata hili ( hilo ), akalitolea Ufafanuzi, akaeleweka na kusema Yanga SC watalimaliza 'amicably ' kabisa huku Bumbuli akiwa anatumbua tu Mimacho yake na Pua yake Kubwa kama Gia Boksi ya Trekta za Massey Ferguson akisindikizwa na Kuzomewa kichinichini na Waandishi wa Habari waliokuwepo katika Press yao Jana.

Nikiri tu pamoja na kwamba Haji Manara ( Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC ) huwa na Mapungufu yake ya Kibinadamu na yanayokera 'sometimes' ila kama akiamua Kutulia akiwa hajanywa au hajavuta huwa anakuwa na Madini na Mweledi sana Kiutendaji kuliko Msemaji yoyote Yule hapa nchini Tanzania hata wa Klabu yangu ya Simba kupitia Ahmed Ally na hili halina Ubishi Ahmed Ally namkubali na namheshimu ila bado hajafikia hata tu 45% ya Manara na bado ana mengi ya Kujifunza kutoka Kwake Manara.

Yanga SC na Wadhamini Wenu achaneni na Msemaji wenu Hassan Bumbuli na bakini tu na Mhamasishaji Mkuu wenu Haji Manara kwani anaupiga mwingi na kwa Yanga SC hii ya sasa atawafaa mno kuliko huyo Mpuuzi na Mshamba Mmoja aliyetaka Kuficha Ukweli na Kutudanganya Watanzania Wanamichezo akina GENTAMYCINE wa Jamiiforums hapa.
 
Kuna haja ya kuifanya Avic Town kuwa moja ya kituo cha kupiga kura kwenye uchaguzi ujao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
🇨🇩
Joyce Lomalisa
🇨🇩
Djuma Shaban
🇨🇩
Fiston Mayele
🇨🇩
Jesus Moloko
🇨🇩
Yannick Bangala
🇨🇩
Heritier Makambo
🇨🇩
Mwinyi Zahera
 
Bumbuli lile bichwa lake lilivyo kubwa unaweza fikiri ana akili nyingi kumbe ni buyu la kuhifadhia makamasi tu.
 
Kuna haja ya kuifanya Avic Town kuwa moja ya kituo cha kupiga kura kwenye uchaguzi ujao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
🇨🇩
Joyce Lomalisa
🇨🇩
Djuma Shaban
🇨🇩
Fiston Mayele
🇨🇩
Jesus Moloko
🇨🇩
Yannick Bangala
🇨🇩
Heritier Makambo
🇨🇩
Mwinyi Zahera
Na jan tunaleta ngoma
 
Back
Top Bottom