Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.
Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu
Yanga: Tumemchukua Manara.
Simba: Manara hatacheza andaeni Timu
Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.
Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?
Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku River Plates ya Nijeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.
Simba: Andaeni timu River sio timu ya kitoto!
Yanga: Kocha wenu hana vyeti.
Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.
Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Proffesa.
Simba: River hao wametoboa tena mnasemaje?
Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.
Simba: Haya ngoja tuonee....
Simba Nguvu Moja.