Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

Kwahiyo Yanga imefungwa na Rivers sababu ndo hii? Acha ujinga wewe
 
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.
Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu
Yanga: Tumemchukua Manara.
Simba: Manara hatacheza andaeni Timu
Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.
Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?
Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku River Plates ya Nijeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.
Simba: Andaeni timu River sio timu ya kitoto!
Yanga: Kocha wenu hana vyeti.
Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.
Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Proffesa.
Simba: River hao wametoboa tena mnasemaje?
Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.
Simba: Haya ngoja tuonee....
Simba Nguvu Moja.
 
Bugatti bado anawatesa MAKOLO hamuamini kama bado anakula maisha adeyum,nchimbi na kaseke waende Makolo FC kama hawamtaki triple king
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia. Kwa Nchimbi na Adeyemu manara yupo sahihi. Kwa Kaseke na wenzake Manara anapaswa kumuomba msamaha.
Cha kuongezea tu Yanga haitafika kokote Kama full backs wataendelea kuwa Adeyumu na Kibwana.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchezaji wewe una mkataba kazi yako kucheza tu haya ya nje ya uwanja hayukuhusu haya mambo ya zamani miaka ya 90. Benitez katoka Liver kwenda Everton na aliwahi kuongea shombo juu ya Everton sembuse Manara? move on cheza mpira mambo ya club management hayamuhusu mchezaji mkataba wako pigania matokeo uwanjani.
 
Kwanini iyo taarifa usiitoe sasa hivi mpaka usubili wafungwe, iyo tu inaonyesha jinsi taarifa zako zinalenga kitu gani, utaendelea kupuuzwa kwa maana ushatoa taarifa nyingi apa za ovyo ovyo atukuwa na mda wa kuhangaika na wewe kwa maana tushakuelewa vizuri Sana unachokitafuta na yote umeangukia pua na utaendelea kuangukia pua tafuta jingine la udaku tunakusubilli apa
 
Kawaida tu kwenye soka alikuwa kwenye ajira.
Rafa Benitez alipokuwa Liverpool aliikejeli Everton lakini sasa ni kocha wa Everton anafanya Kila kitu katika uwezo wake kusaidia timu ifanye vizuri.
So take it easy and relax.
 
Unateseka na Mimi ukitokea wapi labda?
 
Hao wachezaji wacheze tu Mpira mana ndio kazi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeshapenya hiyo Ndugu na Jumatatu ijayo nakuja na Exclusive nyingine tena iliyo mbichi ( moto Moto ) kabisa kutoka ndani kabisa ya Yanga SC na najua mtatafutana hapa JamiiForums. Nawajua kuliko mnavyojijua Wapuuzi wakubwa nyie.
Huna lolote unavizia kama Yanga wakishinda kule Nigeria upotelee porini na kama ikitolewa ndipo ulete uongo wako. Kama unalo liseme sasa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waje wakanushe huku mafichoni JF!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba hamfungi Yanga ngao ya jamii.
Simba ile timu mmepigwa. Hamna wachezaji pale.
 
Yan ww fala kweli habari zingine za kipuuzi hivi sijui hata unazitoa mi nilifikir wanadai labda mishahara au Nini Yani kumbe huu upupu wako ndio unaleta hapa halafu unapa sema wachezaji waandamiz wameifanyia nn yanga
 
Nchimbi na Adeyum ni wachezaji waandamizi?
 
Nchimbi na Adeyum ni wachezaji waandamizi?
Mtafute Mtu aliyekuzidi Akili ( ambazo bahati mbaya huna ) hapo Jirani nawe umuulize nini maana ya neno Mwandamizi halafu akishamaliza Kukuelimisha mwombe akupige Kibao cha uhakika Shavuni na ujiite Mpumbavu sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…