Uchaguzi 2020 Bunda: Haijawahi kutokea Esther Bulaya avunja rekodi akusanya watu kwa maelfu,Wazee wa mji wasema niyeye tu Bunda Mjini Oct 25

Huyu mdada namkubali saana sambamba na Mh Halima Mdee wanajielewa sana,i wish tungepata wadada km hawa 10 tu tungekuwa mbali sanaa!
 
Unashangaa tu wewe mgeni au limbukeni wa mambo ya siasa,

Kuhama kwa mtu kutoka chama kimoja kwenda kingine kwa hiari yake bila kununuliwa ni jambo la kawaida sana.
Siku atakaporejea CCM mtuwekee tena hizi picha!

In God we Trust
 
Huyo habari zake anazo mzee wetu Wasira

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…